Virusi vya corona: Dhana potofu mitandaoni zina athari gani kwa watumiaji wa mitandao
Nadharia za uongo zimekuwa zikistawi kupitia mitandao ya kijamii hasa zinazohusu virusi vya corona - nyingi zimekuwa mitandaoni na kuleta athari za kiafya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili11 Apr
Virusi vya corona: Je virusi vya corona ni majaribu kiasi gani kwa Afrika?
Ongezeko la visa vya ugonjwa wa Covid-19 ni changamoto kubwa kwa sekta za Afya barani Afrika.
11 years ago
BBCSwahili12 Feb
Smartphones zina athari gani kwa watoto?
Wazazi wengi hawana habari kuhusu hatari zinazowakabili watoto wao wanapotumia Tablets au Tabiti na simu za Smartphones.
5 years ago
BBCSwahili07 May
Kubadilika umbo kwa virusi vya corona: Fumbo kwa wanasayansi juu ya athari za virusi
Utafiti umetambua kuwa kubadilika kwa hali na umbile la virusi vya corona mbako wanasema kunaweza kusababisha virusi vya corona kuwa vya maambukizi zaidi.
5 years ago
BBCSwahili22 May
Virusi vya Corona: Vitu gani tunaweza kujifunza kwa nchi ambazo zimepambana mapema na corona?
Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa wimbi la pili baada ya kulegezwa kwa masharti
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya corona: Je, dawa za mitishamba zina nafasi katika mapambano dhidi ya corona?
Dawa ya asili ya Covid-19 ambayo imetengenezwa nchini Madagascar na kutangazwa na rais Andry Rajoelina imezua mijadala kuhusu matumizi ya dawa za mitishamba barani Afrika.
5 years ago
BBCSwahili27 May
Virusi vya corona: Ni kwa namna gani unaweza kuvaa barakoa yako?
Taratibu za kufuata wakati wa kuvaa barakoa kujikinga na virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Virusi vya Corona: Kwanini watu wanaamini ni dhana tu?
Kuanzia wasomi hadi kwa wanasiasa, wengi wamewahi kudanganywa kuhusu virusi vya coronavirus. Kwanini watu wanatoa taarifa za kupotosha, na vipi unaweza kujilinda dhidi ya taarifa za kupotosha?
5 years ago
BBCSwahili19 Apr
Virusi vya corona: Humchukua muda gani mgonjwa wa virusi kupona?
Mgonjwa mwenye dalili za wastani ana nafasi kubwa ya kupona virusi vya corona kuliko wengine.
5 years ago
BBCSwahili07 Apr
Virusi vya corona: Je mataifa ya Afrika yanakabiliana vipi na athari za kiuchumi za Corona?
Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo ametangaza kuwa serikali yake italipia garama ya maji kwa kipindi cha miezi mitatu ijayo ikiwa ni jitihada za kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa corona.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania