UMAKINI ZAIDI UNAHITAJIKA KWA WATUMIAJI MITANDAO.
Ukuaji wa Sekta ya TEHAMA umekuwa wa mafanikio na msaada mkubwa katika kuharakisha, kuboresha na kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi na kuchangia kikamilifu katika kukuza uchumi na kuleta maendeleo ya Taifa letu. Kwa mfano, wananchi walio wengi sasa wanapata huduma mbalimbali za mtandao kwa kutuma na kupokea pesa; kulipia ankara za maji, umeme na tozo mbalimbali kama vile ada na leseni; na mawasiliano ya simu na intaneti pamoja na elimu mtandao na tiba mtandao.
Palipo na mafanikio...
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Umakini unahitajika ubinafsishaji kinu cha NMC
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Heartbleed bug: Tishio jipya la uhalifu kwa watumiaji mitandao
11 years ago
YkileoTAHADHARI: “HEARTBLEED" BUG TISHIO JIPYA KWA WATUMIAJI MITANDAO
Wana mitandao kote duniani hivi sasa bado wako katika hali ya taharuki kufuatia wataalam wa ulinzi mtandao kuweka hadharani tishio jipya la mapungufu yaliyo bainika yanayo ruhusu wahalifu mtandao kuweza kuiba maneno ya siri “passwords” na hata taarifa za kadi za ma benki.
“SSL” ambayo nimeifafanua zaidi kwenye chapisho langu linalosomeka WEB SECURITY ni moja ya program/ kiunganishi cha programu inayo aminika kuweza kuficha taarifa mitandaoni ili kutoonekana kirahisi, ila baada ya...
5 years ago
BBCSwahili29 May
Virusi vya corona: Dhana potofu mitandaoni zina athari gani kwa watumiaji wa mitandao
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Twaweza yawagonganisha watumiaji mitandao ya kijamii
9 years ago
VijimamboSHERIA YA KUWADHIBITI WATUMIAJI WA MITANDAO VIBAYA KUANZA LEO SAA 6:00 USIKU.
Na Magreth Kinabo SHERIA mpya ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 na Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015 zitaanza kutumika rasmi kesho Septemba Mosi mwaka huu, hivyo watumiaji na watoa huduma waaswa kuzingatia sheria hizi ili kuepuka mkondo wa sheria.
Kauli hiyo imetolewa leo na...
9 years ago
MichuziWATUMIAJI WA MITANDAO VIBAYA SHERIA KUWADHIBITI KUANZA LEO SAA 6:00 USIKU.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini jijini Dar es Salaam leo.
Na Magreth Kinabo SHERIA mpya ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 na Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015 zitaanza kutumika rasmi kesho Septemba Mosi mwaka huu, hivyo watumiaji na watoa huduma waaswa kuzingatia sheria hizi ili kuepuka mkondo wa sheria.
Kauli hiyo imetolewa leo na...
9 years ago
Raia Mwema06 Nov
Z’bar inahitaji umakini zaidi
UAMUZI wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha, kufuta Uchaguzi Mkuu wa vis
Mwandishi Wetu
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Nooij ataka umakini zaidi Taifa Stars