WATUMIAJI WA MITANDAO VIBAYA SHERIA KUWADHIBITI KUANZA LEO SAA 6:00 USIKU.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dares Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini jijini Dar es Salaam leo.
Na Magreth Kinabo SHERIA mpya ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 na Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015 zitaanza kutumika rasmi kesho Septemba Mosi mwaka huu, hivyo watumiaji na watoa huduma waaswa kuzingatia sheria hizi ili kuepuka mkondo wa sheria.
Kauli hiyo imetolewa leo na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboSHERIA YA KUWADHIBITI WATUMIAJI WA MITANDAO VIBAYA KUANZA LEO SAA 6:00 USIKU.
Na Magreth Kinabo SHERIA mpya ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 na Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015 zitaanza kutumika rasmi kesho Septemba Mosi mwaka huu, hivyo watumiaji na watoa huduma waaswa kuzingatia sheria hizi ili kuepuka mkondo wa sheria.
Kauli hiyo imetolewa leo na...
10 years ago
MichuziTRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...
10 years ago
Habarileo11 Aug
Sheria ya mitandao kuanza Sept 1
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kiama kwa watumiaji vibaya na wahalifu wote wa mitandao nchini, kuwa siku zao zinahesabika kwani ifikapo Septemba mosi, mwaka huu, Sheria ya Uhalifu wa Mitandao itaanza kutumika na wengi huenda wakaishia gerezani.
10 years ago
GPL11 years ago
GPL10 years ago
VijimamboMWISHO WA TICKET ZA BEI NAFUU YA $75 LEO USIKU SAA TANO @11:59 PM
NUNUA TICKET ONLINE ..INGIA HAPAWWW.DIAMONDUSATOUR.COM
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUU WA CCM KUFANYIKA LEO SAA TATU USIKU
11 years ago
GPLMAZOEZI YA MWISHO YA YANGA KABLA YA KUWAVAA AL AHLY LEO SAA 2 USIKU
9 years ago
Michuzi