Sheria ya mitandao kuanza Sept 1
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kiama kwa watumiaji vibaya na wahalifu wote wa mitandao nchini, kuwa siku zao zinahesabika kwani ifikapo Septemba mosi, mwaka huu, Sheria ya Uhalifu wa Mitandao itaanza kutumika na wengi huenda wakaishia gerezani.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWATUMIAJI WA MITANDAO VIBAYA SHERIA KUWADHIBITI KUANZA LEO SAA 6:00 USIKU.
Na Magreth Kinabo SHERIA mpya ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 na Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015 zitaanza kutumika rasmi kesho Septemba Mosi mwaka huu, hivyo watumiaji na watoa huduma waaswa kuzingatia sheria hizi ili kuepuka mkondo wa sheria.
Kauli hiyo imetolewa leo na...
9 years ago
VijimamboSHERIA YA KUWADHIBITI WATUMIAJI WA MITANDAO VIBAYA KUANZA LEO SAA 6:00 USIKU.
Na Magreth Kinabo SHERIA mpya ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 na Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015 zitaanza kutumika rasmi kesho Septemba Mosi mwaka huu, hivyo watumiaji na watoa huduma waaswa kuzingatia sheria hizi ili kuepuka mkondo wa sheria.
Kauli hiyo imetolewa leo na...
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Umuhimu wa sheria za mitandao kibiashara
9 years ago
Mwananchi05 Sep
Sheria ya Makosa ya Mitandao itawasadia wasanii
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Haki-za-Binadamu-620x308.jpg)
SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO YAPINGWA MAHAKAMANI
10 years ago
Mtanzania09 May
Serikali yataka maoni sheria ya mitandao
Na Jonas Mushi, Dar es Salam
SERIKALI imewataka wananchi kutoa maoni yatakayoiboresha sheria ya makosa ya mitandao ya mwaka 2015 iliyosainiwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete ili yasaidie kuiboresha.
Imesema licha ya sheria hiyo kusainiwa na Rais, bado kuna umuhimu wa kuiboresha katika baadhi ya vipengele vyenye upungufu.
Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, katika mkutano wake na waandishi wa habari...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZFVQGyC-7KhAiarbr7-yximWStYVU8KV02NrdkwX0fM9hABnp1N9js0ZUZQ7Iz8T82HpjgWZFv5HaO8AK1mxZpEdnrYcGaGT/27cybercrime.jpg)
MAMBO 10 YA KUEPUKA ILI SHERIA YA MITANDAO ISIKUPITIE
10 years ago
Habarileo30 Mar
Sheria kali kung’ata wahalifu wa mitandao
WAHALIFU wa mtandao pamoja na wasambazaji wa picha za utupu na ngono, wasambazaji wa taarifa za uwongo, za kibaguzi na matusi na watu wengine ambao wanafanya udanganyifu unaohusiana na kompyuta wametungiwa sheria kali ambayo itawafanya kwenda jela hadi miaka 10 au kulipa faini isiyopungua Sh milioni 50.
9 years ago
StarTV19 Sep
Wakazi wa Arusha wafuraishwa na matumizi ya sheria ya makosa ya mitandao.
Sheria za makosa ya mtandao na miamala ya kielektoniki za mwaka 2015 zimeonesha kupokelewa vema na wakazi wa jiji la Arusha kutokana na adha mbalimbali walizokuwa wanakabiliana nazo kabla ya kuanza kwa sheria hizo.
Wakazi hao wameonesha kufurahishwa na jitihada zinazofanywa na Serikali kupambana na makosa ya mtandao hasa katika nyakati hizi ambapo matukio ya namna hiyo yameshamri.
Wakati wananchi wakizungumza hayo Wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia imeandaa kikao...