Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umuhimu wa sheria za mitandao kibiashara

Maendeleo ya teknolojia yanafanya uendeshaji wa biashara sasa uweze kufanyika kwa njia ya mitandao. Nina maana mtu anaweza akauza na kununua bidhaa kwa kutumia mtandao na vilevile kutangaza biashara yake pia kupitia njia hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Namna ya kutumia fursa za mikutano kutengeneza mitandao ya kibiashara

Ulishawahi kwenda kwenye semina, warsha au mikutano ya wafanyabiashara? Kwenye matukio kama hayo kuna nyakati zinatokea za mapumziko au muda kabla ya kuanza. Wewe kama mfanyabiashara unapaswa kutumia kikamilifu fursa hizi ili kutanua mtandao wa biashara yako. Hii ni nafasi, hupaswi kuipoteza.

 

10 years ago

Habarileo

Sheria ya mitandao kuanza Sept 1

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kiama kwa watumiaji vibaya na wahalifu wote wa mitandao nchini, kuwa siku zao zinahesabika kwani ifikapo Septemba mosi, mwaka huu, Sheria ya Uhalifu wa Mitandao itaanza kutumika na wengi huenda wakaishia gerezani.

 

9 years ago

GPL

SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO YAPINGWA MAHAKAMANI

Mkurugenzi wa THRDC, Onesmo Olengurumwa. MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na mashirika mengine ya kutetea haki za binadamu leo wamefungua kesi ya Kikatiba kupinga baadhi ya vipengele katika Sheria ya Makosa ya Mitandao. Vipengele vinavyopigwa ni kifungu cha 4, 5 na 45 (4) cha Sheria ya Makosa ya Mitandaoni ambacho kinazuia haki ya kupata na kutoa taarifa ambacho kinakinzana na Ibara ya 18 ya Katiba...

 

9 years ago

Mwananchi

Sheria ya Makosa ya Mitandao itawasadia wasanii

‘Hata uwe mrefu vipi huwezi kuiona kesho’, lakini laiti kama hilo lingewezekana basi ningeutafuta urefu kwa udi na uvumba ili niweze kuona jinsi hali itakavyokuwa kwenye mitandao ya kijamii.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yataka maoni sheria ya mitandao

Na Jonas Mushi, Dar es Salam
SERIKALI imewataka wananchi kutoa maoni yatakayoiboresha sheria ya makosa ya mitandao ya mwaka 2015 iliyosainiwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete ili yasaidie kuiboresha.
Imesema licha ya sheria hiyo kusainiwa na Rais, bado kuna umuhimu wa kuiboresha katika baadhi ya vipengele vyenye upungufu.
Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, katika mkutano wake na waandishi wa habari...

 

9 years ago

GPL

MAMBO 10 YA KUEPUKA ILI SHERIA YA MITANDAO ISIKUPITIE

Sheria ya mitandao inaanza kutumika rasmi tarehe 1 septemba 2015, haya mambo 10 muhimu ili sheria hii isikukamate 1. Epuka Kusambaza ujumbe wa uchochezi ama ushawishi wa kisiasa unaoweza kuleta athari kwa jamii yetu kupitia mitandao 2. Epuka Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao. 3. Epuka Kusambaza picha ama video za utupu ama zilizokosa...

 

10 years ago

Habarileo

Sheria kali kung’ata wahalifu wa mitandao

WAHALIFU wa mtandao pamoja na wasambazaji wa picha za utupu na ngono, wasambazaji wa taarifa za uwongo, za kibaguzi na matusi na watu wengine ambao wanafanya udanganyifu unaohusiana na kompyuta wametungiwa sheria kali ambayo itawafanya kwenda jela hadi miaka 10 au kulipa faini isiyopungua Sh milioni 50.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani