MAMBO 10 YA KUEPUKA ILI SHERIA YA MITANDAO ISIKUPITIE
![](http://api.ning.com:80/files/ZFVQGyC-7KhAiarbr7-yximWStYVU8KV02NrdkwX0fM9hABnp1N9js0ZUZQ7Iz8T82HpjgWZFv5HaO8AK1mxZpEdnrYcGaGT/27cybercrime.jpg)
Sheria ya mitandao inaanza kutumika rasmi tarehe 1 septemba 2015, haya mambo 10 muhimu ili sheria hii isikukamate 1. Epuka Kusambaza ujumbe wa uchochezi ama ushawishi wa kisiasa unaoweza kuleta athari kwa jamii yetu kupitia mitandao 2. Epuka Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao. 3. Epuka Kusambaza picha ama video za utupu ama zilizokosa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Aug
Mambo ya kufahamu ili kuepuka athari na kuongeza ufanisi wa Wafanyakazi wa nyumbani
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-xRgQOQaIj5c/VeL0R2lpGcI/AAAAAAAAjzc/sWhpXmaPkHk/s72-c/1.jpg)
MAMBO 10 MUHIMU ILI SHERIA YA MAKOSA YA KIMTANDAO YASIKUKAMATE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-xRgQOQaIj5c/VeL0R2lpGcI/AAAAAAAAjzc/sWhpXmaPkHk/s1600/1.jpg)
2. Epuka Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao
3. Epuka Kusambaza picha ama video za utupu ama zilizokosa maadili kwa jamii kupitia mitandao mbalimbali ( Whatsapp, Facebook, YouTube, Instagram n.k)
4. Epuka...
9 years ago
MichuziILI KUEPUKA KUBOMOLEWA, KUFUTIWA UMILIKI JIEPUSHE NA HAYA.
Na Bashir YakubSerikali mpya imeanza kwa kasi kubwa kufuta umiliki wa viwanja nyumba na kubomoa yale maeneo yote wanayoona hayastahili. Upo umuhimu wa kujua namna ya kuepuka kuingia katika janga hili.
1.Kifungu cha 45 (2)(i-vi) cha Sheria ya Ardhi kinaeleza sababu za msingi zinazoweza kusababisha mhusika kubomolewa, kufutiwa umiliki ardhi kama ifuatavyo :( a ) Kwanza iwapo eneo limetelekezwa kwa muda usiopungua miaka miwili. Muda usiopungua miaka miwili maana yake ni...
5 years ago
MichuziMABULA ATAKA MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI KWA MITANDAO YA SIMU KUEPUKA CORONA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kilipia kodi ya pango la ardhi kufanya hivyo kupitia mitandao ya simu za viganjani ili kuepuka misongamano inayoweza kuchangia maambukizi ya virusi vya Corona.
Dkt Mabula alitoa tahadhari hiyo juzi wilayani Bariadi mkoani Simiyu alipozungumza na Wakurugenzi na Watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za mkoa wa Simiyu akiwa katika ziara ya...
9 years ago
StarTV02 Dec
Viongozi BAKWATA Arusha watakiwa kufuata Katiba ili kuepuka mifarakano
Baraza la Waislamu nchini Mkoa wa Arusha limewataka viongozi wa baraza hilo kuhakikisha wanafuata katiba katika kusimamia na kutimiza majukumu yaliyoainishwa ili kuepuka mifarakano ya mara kwa mara miongoni mwa waumini na viongozi.
Baraza hilo limesema liko tayari kushirikiana na taasisi nyingine zilizo rasmi pasipo kuharibu lengo la kuwepo kwa taasisi hizo.
Haya yamezungumzwa na viongozi wa BAKWATA mkoa wa Arusha baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wapya uchaguzi uliofanyika kwa...
9 years ago
StarTV19 Nov
 Wakazi Njombe waaswa kusafisha mazingira ili kuepuka  Magonjwa Ya Mlipuko
Wakazi wa mkoa wa Njombe wamehimizwa kuhakikisha wanalinda mazingira kwa kufanya usafi katika makazi yao ili kujihadhari na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.
Ni rai ya mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi katika maadhimisho ya Wiki ya Mazingira ambayo yamefanyika kitaifa mkoani Njombe.
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Nchimbi amesema mkoa umepata sifa kubwa ya kuwa mwenyeji wa wiki ya maadhimishio hayo na kwamba iwe fursa wakazi hao kujifunza kuwa kielelezo cha usafi wa...
9 years ago
StarTV04 Jan
 Wataalam wa ardhi watakiwa kuwa makini katika upimaji ili Kuepuka Migogoro
Wataalam wa ardhi katika Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya wametakiwa kuwa makini wakati wa utekelezaji wa kazi ya upimaji wa viwanja vya makazi na mji wa halmashauri hiyo ili kuepuka migogoro ya ardhi isiyo ya lazima na wananchi.
Tahadhari hiyo imetolewa na Kamishna wa Ardhi kanda ya kaskazini Suma Tumpale kutokana nia taarifa ya wataalamu wa Ardhi wa Halmashauri hiyo kueleza kuwepo kwa mgomo wa baadhi ya wananchi wanaopinga uendeshwaji wa zoezi hilo katika maeneo yao.
Halmashauri ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Axo3GblqLG0/Xnnn7zdJlvI/AAAAAAALk5M/0eiHOzTrmb0N7vNTydmOsMi1Tdn221VHwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KUTUMIA 'VIDEO CONFERENCE' KUENDESHA KESI ILI KUEPUKA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Axo3GblqLG0/Xnnn7zdJlvI/AAAAAAALk5M/0eiHOzTrmb0N7vNTydmOsMi1Tdn221VHwCLcBGAsYHQ/s320/index.jpg)
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imesema kutokana ugonjwa wa Corona kuendelea kuwa tishio duniani na hata kama ikitokea Mahakama zikatakiwa kufungwa basi shughuli za kimahakama hazitasimama na badala yake zitakuwa zikifanyika kwa njia ya mtandao.
Pia imeelezwa kuwa kuanzia kesho mahabusu ambao walikuwa wanapaswa kuletwa Mahakama Kuu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza kesi zao hawataletwa, badala yake utatumika mfumo wa vedio maarufu...
10 years ago
Habarileo11 Aug
Sheria ya mitandao kuanza Sept 1
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kiama kwa watumiaji vibaya na wahalifu wote wa mitandao nchini, kuwa siku zao zinahesabika kwani ifikapo Septemba mosi, mwaka huu, Sheria ya Uhalifu wa Mitandao itaanza kutumika na wengi huenda wakaishia gerezani.