Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMBO 10 MUHIMU ILI SHERIA YA MAKOSA YA KIMTANDAO YASIKUKAMATE.

Sheria ya mitandao iliyoaanza kutumika rasmi tarehe 1 septemba 2015.   1. Epuka Kusambaza ujumbe wa uchochezi ama ushawishi wa kisiasa unaoweza kuleta athari kwa jamii yetu kupitia mitandao
2. Epuka Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao
3. Epuka Kusambaza picha ama video za utupu ama zilizokosa maadili kwa jamii kupitia mitandao mbalimbali ( Whatsapp, Facebook, YouTube, Instagram n.k)
4. Epuka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

9 years ago

GPL

MAMBO 10 YA KUEPUKA ILI SHERIA YA MITANDAO ISIKUPITIE

Sheria ya mitandao inaanza kutumika rasmi tarehe 1 septemba 2015, haya mambo 10 muhimu ili sheria hii isikukamate 1. Epuka Kusambaza ujumbe wa uchochezi ama ushawishi wa kisiasa unaoweza kuleta athari kwa jamii yetu kupitia mitandao 2. Epuka Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao. 3. Epuka Kusambaza picha ama video za utupu ama zilizokosa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maoni ya mdau Auncle Fafi kuhusu Muswada wa makosa ya kimtandao 2015

GO9G3451

Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia inajiandaa kupeleka bungeni muswada wa sheria ya makosa ya mtandao 2015 ambayo unaweza kuisoma kwa kubofya hapa. Kama zilivyo sheria nyingi kabla ya kupitishwa wabunge hupewa nafasi ya kuijadili na kufanya marekebisho pale penye mapungufu.  Baada ya kuipitia haraka haraka nimegundua baadhi ya vitu ambavyo naamini havijakaa sawa na nimejaribu kuelezea kwa chini yake. Ni matumaini yangu wabunge wetu wataipitia vizuri zaidi na kugundua mengi ambayo...

 

9 years ago

GPL

SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO YAPINGWA MAHAKAMANI

Mkurugenzi wa THRDC, Onesmo Olengurumwa. MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na mashirika mengine ya kutetea haki za binadamu leo wamefungua kesi ya Kikatiba kupinga baadhi ya vipengele katika Sheria ya Makosa ya Mitandao. Vipengele vinavyopigwa ni kifungu cha 4, 5 na 45 (4) cha Sheria ya Makosa ya Mitandaoni ambacho kinazuia haki ya kupata na kutoa taarifa ambacho kinakinzana na Ibara ya 18 ya Katiba...

 

9 years ago

Mwananchi

Sheria ya Makosa ya Mitandao itawasadia wasanii

‘Hata uwe mrefu vipi huwezi kuiona kesho’, lakini laiti kama hilo lingewezekana basi ningeutafuta urefu kwa udi na uvumba ili niweze kuona jinsi hali itakavyokuwa kwenye mitandao ya kijamii.

 

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Habarileo

Kamati yapongeza sheria ya makosa ya mtandao

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imepongeza serikali kwa kuwasilisha muswada wa sheria ya makosa ya mtandao, huku ikisisitiza elimu kwa wananchi ili waepuke makosa yatakayowatia hatiani.

 

10 years ago

Ykileo

UCHAMBUZI WA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO, 2015

Awali ya yote nirudie kutoa pongezi kwa serikali kwa hatua hii muhimu waliyofikia ya kuwasilisha mswada wa sheria mtandao ambao naimani kubwa itakua na majibu mazuri ya kudhibiti na kuhimili vishindo vya uhalifu mtandao nchini. Naomba itambulike Tanznaia si ya kwanza kuwa na sheria za usalama mitandao na ukweli ni kwamba tumechelewa kwa kiasi Fulani. Nchi nyingi tayari zinasheria za usalama mitandao na zimeendelea kuboreshwa kadri teknolojia inavyo endelea kukua na kubadilika.


Nitaanza na...

 

10 years ago

GPL

UCHAMBUZI WA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015

UTANGULIZI
Sheria hii ya Makosa ya Jinai kupitia Mtandao, 2015 ina mapungufu mengi. Mapungufu hayo yamebainika kuwa, kama sheria ikipita yanaweza kuifanya nchi ikawa ni kati nchi adui za matumizi ya mtandao wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano duniani. Watanzania wote wanatakiwa kufahamu kuwa muswada ukipita utatumika nchini kote yani Tanzania Bara na Visiwani. Watanzania walio wengi hawafahamu Sheria hii inawahusu kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani