Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapinga Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandaoni

Fidelis Butahe, Mwananchi

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MH. RAIS ASIPITISHE MUSWADA WA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAONI, 2015

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho kikwete. TAARIFA KWA UMMA YA TBN KUMUOMBA Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni. Muswada wa sheria ya makosa ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Bongo5

Je! unaujua muswada wa makosa ya mtandaoni 2015?

Wadau mbalimbali wameendelea kutathmini muswada wa mwaka 2015 uliopitishwa bungeni hivi karibuni kuhusu makosa ya mtandaoni. Kama Rais Jakaya Kikwete, Tanzania itakuwa imepata sheria hiyo kwa mara ya kwanza. Baada ya muswada huu kuwekwa hadharani, wadau mbalimbali wameendelea kuusoma na kujadili kwenye mitandao ya kijamii lakini jamii ya watu inayoshughulikia maendelezo ya taaluma katika teknolojia […]

 

11 years ago

Ykileo

BUNGE LINATEGEMEA KUWASILISHA BUNGENI MUSWADA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO.

Wizara ya Mawasilano, Sayansi na Teknolojia ipo katika mkakati wa kuandaa muswada wa sheria za matumizi salama ya mtandao ili kukabiliana na changamoto za uhalifu kupitia mtandao.

Kupitishwa kwa miswada hiyo kuwa sheria kutapunguza hali ya kukithiri kwa matukio ya uhalifu wa kutumia mtandao, uvujaji wa taarifa za siri pamoja na upotevu wa haki miliki kutokana na kukosekana kwa sheria ya kudhibiti vitendo hivyo.

Miongoni mwa Miswada ya sheria itakayoandaliwa na Wizara hiyo ni pamoja na muswada...

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

10 years ago

Mtanzania

Wanaharakati wapinga muswada wa mtandao

Na Adam Mkwepu Dar es Salaam
WADAU wa matumizi ya mtandao wametoa tamko la kuliomba Bunge lisipitishe Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao kuwa sheria, kwa kuwa unaingilia uhuru wa mawasiliano kwa wananchi.
Muswada huo unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi ya ushahidi wa kieletroniki.
Wadau hao, muswada huo haukuwekwa wazi hadi tarehe 29 Machi na ratiba inaonesha muswada...

 

10 years ago

Habarileo

‘Muswada makosa ya mtandao utasainiwa’

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva RweyemamuIKULU imesema Rais Jakaya Kikwete atasaini Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015, kwa kuwa umepitia taratibu zote. Pia, Ikulu imesisitiza kuwa sheria hiyo ni nzuri na itadhibiti matumizi mabaya ya mtandao.

 

10 years ago

Mwananchi

TZ-CERT kutambua makosa ya uhalifu wa mtandaoni

Dar es Salaam. Siku chache baada ya kupitishwa kwa sheria ya makosa ya uhalifu wa mtandao, mtambo wa kutambua makosa hayo wa TZ-CERT umezinduliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani