Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. RAIS ASIPITISHE MUSWADA WA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAONI, 2015

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho kikwete. TAARIFA KWA UMMA YA TBN KUMUOMBA Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni. Muswada wa sheria ya makosa ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Bongo5

Je! unaujua muswada wa makosa ya mtandaoni 2015?

Wadau mbalimbali wameendelea kutathmini muswada wa mwaka 2015 uliopitishwa bungeni hivi karibuni kuhusu makosa ya mtandaoni. Kama Rais Jakaya Kikwete, Tanzania itakuwa imepata sheria hiyo kwa mara ya kwanza. Baada ya muswada huu kuwekwa hadharani, wadau mbalimbali wameendelea kuusoma na kujadili kwenye mitandao ya kijamii lakini jamii ya watu inayoshughulikia maendelezo ya taaluma katika teknolojia […]

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

11 years ago

Ykileo

BUNGE LINATEGEMEA KUWASILISHA BUNGENI MUSWADA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO.

Wizara ya Mawasilano, Sayansi na Teknolojia ipo katika mkakati wa kuandaa muswada wa sheria za matumizi salama ya mtandao ili kukabiliana na changamoto za uhalifu kupitia mtandao.

Kupitishwa kwa miswada hiyo kuwa sheria kutapunguza hali ya kukithiri kwa matukio ya uhalifu wa kutumia mtandao, uvujaji wa taarifa za siri pamoja na upotevu wa haki miliki kutokana na kukosekana kwa sheria ya kudhibiti vitendo hivyo.

Miongoni mwa Miswada ya sheria itakayoandaliwa na Wizara hiyo ni pamoja na muswada...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maoni ya mdau Auncle Fafi kuhusu Muswada wa makosa ya kimtandao 2015

GO9G3451

Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia inajiandaa kupeleka bungeni muswada wa sheria ya makosa ya mtandao 2015 ambayo unaweza kuisoma kwa kubofya hapa. Kama zilivyo sheria nyingi kabla ya kupitishwa wabunge hupewa nafasi ya kuijadili na kufanya marekebisho pale penye mapungufu.  Baada ya kuipitia haraka haraka nimegundua baadhi ya vitu ambavyo naamini havijakaa sawa na nimejaribu kuelezea kwa chini yake. Ni matumaini yangu wabunge wetu wataipitia vizuri zaidi na kugundua mengi ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MASOKO YA BIDHAA YA MWAKA 2015 (COMMODITY EXCHANGE ACT,2015)

Msomaji wa Maoni hayo Mhe. David Ernest Silinde (Mb) K.n.y Waziri Kivuli- Wizara ya Fedha 29.06.2015Kusoma maoni hayo BOFYA HAPA

 

10 years ago

Ykileo

UCHAMBUZI WA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO, 2015

Awali ya yote nirudie kutoa pongezi kwa serikali kwa hatua hii muhimu waliyofikia ya kuwasilisha mswada wa sheria mtandao ambao naimani kubwa itakua na majibu mazuri ya kudhibiti na kuhimili vishindo vya uhalifu mtandao nchini. Naomba itambulike Tanznaia si ya kwanza kuwa na sheria za usalama mitandao na ukweli ni kwamba tumechelewa kwa kiasi Fulani. Nchi nyingi tayari zinasheria za usalama mitandao na zimeendelea kuboreshwa kadri teknolojia inavyo endelea kukua na kubadilika.


Nitaanza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani