Wanaharakati wapinga muswada wa mtandao
Na Adam Mkwepu Dar es Salaam
WADAU wa matumizi ya mtandao wametoa tamko la kuliomba Bunge lisipitishe Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao kuwa sheria, kwa kuwa unaingilia uhuru wa mawasiliano kwa wananchi.
Muswada huo unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi ya ushahidi wa kieletroniki.
Wadau hao, muswada huo haukuwekwa wazi hadi tarehe 29 Machi na ratiba inaonesha muswada...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SwLvdmcGtzU/VR6mW0nXhwI/AAAAAAAHPHM/I20UdBUNpZU/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-SwLvdmcGtzU/VR6mW0nXhwI/AAAAAAAHPHM/I20UdBUNpZU/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
9 years ago
Bongo516 Dec
Wanaharakati wapinga show ya Nicki Minaj nchini Angola
![Nicki-Minaj](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Nicki-Minaj-300x194.jpg)
Wanaharakati wa haki za binadamu wamepinga kufanyika kwa show ya Nicki Minaj nchini Angola.
Rapper huyo anatarajiwa kutumbuiza Jumamosi hii, December 19 kwenye party ya Christmas iliyoandaliwa na kampuni ya simu ya Unitel, inayomilikiwa na familia ya rais wa nchi hiyo, José Eduardo dos Santos.
Rais huyo anadaiwa kujikusanyia mali nyingi za nchi hiyo hususan mafuta na almasi kwaajili ya familia yake.
Rais wa taasisi ya Human Rights Foundation, Thor Halvorssen, amemuomba Minaj kwenye barua...
10 years ago
Mwananchi31 Mar
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/yXgpAtYh824/default.jpg)
10 years ago
Habarileo28 Apr
‘Muswada makosa ya mtandao utasainiwa’
IKULU imesema Rais Jakaya Kikwete atasaini Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015, kwa kuwa umepitia taratibu zote. Pia, Ikulu imesisitiza kuwa sheria hiyo ni nzuri na itadhibiti matumizi mabaya ya mtandao.
11 years ago
Ykileo26 Apr
BUNGE LINATEGEMEA KUWASILISHA BUNGENI MUSWADA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO.
Kupitishwa kwa miswada hiyo kuwa sheria kutapunguza hali ya kukithiri kwa matukio ya uhalifu wa kutumia mtandao, uvujaji wa taarifa za siri pamoja na upotevu wa haki miliki kutokana na kukosekana kwa sheria ya kudhibiti vitendo hivyo.
Miongoni mwa Miswada ya sheria itakayoandaliwa na Wizara hiyo ni pamoja na muswada...
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Wanaharakati wafanya maandamano Burundi
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Wanaharakati waombea amani Burundi
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Wanaharakati walishutumu jeshi la Iraq