MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KUTUMIA 'VIDEO CONFERENCE' KUENDESHA KESI ILI KUEPUKA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Axo3GblqLG0/Xnnn7zdJlvI/AAAAAAALk5M/0eiHOzTrmb0N7vNTydmOsMi1Tdn221VHwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
Na Karama Kenyunko,Michuzi Globu ya jamii
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imesema kutokana ugonjwa wa Corona kuendelea kuwa tishio duniani na hata kama ikitokea Mahakama zikatakiwa kufungwa basi shughuli za kimahakama hazitasimama na badala yake zitakuwa zikifanyika kwa njia ya mtandao.
Pia imeelezwa kuwa kuanzia kesho mahabusu ambao walikuwa wanapaswa kuletwa Mahakama Kuu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza kesi zao hawataletwa, badala yake utatumika mfumo wa vedio maarufu...
Michuzi