Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi BAKWATA Arusha watakiwa kufuata Katiba ili kuepuka mifarakano

Baraza la Waislamu nchini Mkoa wa Arusha limewataka viongozi wa baraza hilo kuhakikisha wanafuata katiba katika kusimamia na kutimiza majukumu yaliyoainishwa ili kuepuka mifarakano ya mara kwa mara miongoni mwa waumini na viongozi.

Baraza hilo limesema liko tayari kushirikiana na taasisi nyingine zilizo rasmi pasipo kuharibu lengo la kuwepo kwa taasisi hizo.

Haya yamezungumzwa na viongozi wa BAKWATA mkoa wa Arusha baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wapya uchaguzi uliofanyika kwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

  Wataalam wa ardhi watakiwa kuwa makini katika upimaji ili Kuepuka Migogoro

 

Wataalam wa ardhi katika Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya wametakiwa kuwa makini wakati wa utekelezaji wa kazi ya upimaji wa viwanja vya makazi na mji wa halmashauri hiyo ili kuepuka migogoro ya ardhi isiyo ya lazima na wananchi.

Tahadhari hiyo imetolewa na Kamishna wa Ardhi kanda ya kaskazini Suma Tumpale kutokana nia taarifa ya wataalamu wa Ardhi wa Halmashauri hiyo kueleza kuwepo kwa mgomo wa baadhi ya wananchi wanaopinga uendeshwaji wa zoezi hilo katika maeneo yao.

 Halmashauri ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Je unatambua jinsi ya kuepuka mifarakano katika ndoa?(1)

Je, kuna dalili zozote zinazoashiria kutokea mfarakano katika ndoa yako? Kama hakuna, unafanya nini kudumisha maelewano mema baina yako na mwenzako. Kama kuna dalili za mfarakano, unafanya nini kuinusuru ndoa yako? Kwa hakika hakuna jibu rahisi la swali hili.

 

11 years ago

Mwananchi

Je unatambua jinsi ya kuepuka mifarakano katika ndoa?(2)

Wiki iliyopita tuliona sehemu ya kwanza ya maelezo haya, leo tunaendelea.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waislamu watakiwa kuiunga mkono Bakwata

TAASISI ya Tanzania Islamic Peace Foundation (TIPF) imewataka Waislamu kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Sheikh Sadiki...

 

9 years ago

GPL

MAMBO 10 YA KUEPUKA ILI SHERIA YA MITANDAO ISIKUPITIE

Sheria ya mitandao inaanza kutumika rasmi tarehe 1 septemba 2015, haya mambo 10 muhimu ili sheria hii isikukamate 1. Epuka Kusambaza ujumbe wa uchochezi ama ushawishi wa kisiasa unaoweza kuleta athari kwa jamii yetu kupitia mitandao 2. Epuka Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao. 3. Epuka Kusambaza picha ama video za utupu ama zilizokosa...

 

9 years ago

Michuzi

ILI KUEPUKA KUBOMOLEWA, KUFUTIWA UMILIKI JIEPUSHE NA HAYA.


Na Bashir YakubSerikali  mpya  imeanza  kwa  kasi  kubwa kufuta  umiliki  wa  viwanja  nyumba na  kubomoa  yale  maeneo  yote  wanayoona  hayastahili. Upo  umuhimu  wa  kujua  namna  ya  kuepuka  kuingia  katika  janga  hili.


1.Kifungu cha 45 (2)(i-vi) cha Sheria ya Ardhi kinaeleza sababu za msingi zinazoweza kusababisha mhusika kubomolewa, kufutiwa umiliki ardhi kama ifuatavyo :( a ) Kwanza iwapo eneo limetelekezwa kwa muda usiopungua miaka miwili. Muda usiopungua miaka miwili maana yake ni...

 

10 years ago

Habarileo

Waajiri watakiwa kufuata sheria

MWENYEKITI mpya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) amewataka waajiri na wafanyakazi wote nchini kufuata Sheria na Taratibu za Kazi, kwani uvunjwaji wake ndio chanzo kikubwa cha uwepo wa migogoro mingi inayowasilishwa kwenye tume hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM watakiwa kufuata sheria

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amewataka wanasiasa wanaofanya mikutano ya hadhara katika majimbo yao kuacha mara moja kwani ni kuvunja sheria...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bodaboda Geita watakiwa kufuata sheria

JESHI la Polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Geita, limewataka waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda na baiskeli kuacha tabia ya kuingia kwenye barabara kubwa bila kufuata sheria za barabarani. Akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani