Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodaboda Geita watakiwa kufuata sheria

JESHI la Polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Geita, limewataka waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda na baiskeli kuacha tabia ya kuingia kwenye barabara kubwa bila kufuata sheria za barabarani. Akizungumza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CCM watakiwa kufuata sheria

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amewataka wanasiasa wanaofanya mikutano ya hadhara katika majimbo yao kuacha mara moja kwani ni kuvunja sheria...

 

10 years ago

Habarileo

Waajiri watakiwa kufuata sheria

MWENYEKITI mpya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) amewataka waajiri na wafanyakazi wote nchini kufuata Sheria na Taratibu za Kazi, kwani uvunjwaji wake ndio chanzo kikubwa cha uwepo wa migogoro mingi inayowasilishwa kwenye tume hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Wachimbaji watakiwa kufuata sheria ya uchimbaji

Kamati maalum iliyoundwa na Serikali kushughulikia tatizo la muingiliano ndani ya migodi ya madini katika machimbo ya Madini ya TANZANITE Mirerani, imetoa uamuzi wa kuwataka wachimbaji wote kufuata sheria ya uchimbaji kulingana na leseni zao.

Hatua hiyo inatazamiwa kwamba huwenda ikasaidia kutatua matatizo ya mara kwa mara baina ya wachimbaji wadogo na wakubwa wanapokutana chini ya ardhi tukio linalofahamika zaidi kwa jina la “MTOBOZANO”

Awali Serikali iliamua kuunda kamati maalumu...

 

5 years ago

Michuzi

WAENDESHA BODABODA KINONDONI WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA, WAKWAPUAJI SASA KUKIONA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
WAENDESHA wa usafiri Bodaboda wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam wametakiwa kufuata sheria katika kutoa huduma hiyo ya kubeba na kusafirisha abiria kutoka eneo moja kwenda jingine.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amesema hayo wakati akizungumza na Michuzi Blog, ambapo amefafanua kuwa kuna kila sababu ya kuhakikisha waendesha bodaboda wanazingatia sheria kwani wale ambao watabainika kukiuka watachukuliwa hatua.
Hata hivyo amesema kwa sasa hali ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAFUGAJI WATAKIWA KUFANYA SHUGHULI ZAO KWA KUFUATA SHERIA-CCWT

 Na Avila kakingo,Globu ya Jamii.  CHAMA cha wafugaji Tanzania (CCWT),kimewataka wafugaji wote nchini kufanya shughuli zao kwa kufuata sheria, pia hawataki kuona wafugaji wakifanya uonevu wa aina yoyote kwa watu wengine. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT),Magembe Makoye wakati akizungumza na wandishi wa habari katika ukumbi wa Habari MAELEZO leo jijini Da es Salaam. Makoye Amesema kuwa wafugaji watambue kuwa kunakutegemeana na watu wengine katika kuendesha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wasambazaji wa Filamu za nje watakiwa kufuata sheria ya Ukaguzi wa Filamu!

PIX1a

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akisisitiza jambo juu ya Sheria ya Ukaguzi wa Filamu nchini kwa baadhi ya wawakilishi wa Wasambazaji wa Filamu za nje nchini wakati walipokutana ofisini kwake jana jijini Dar es Salaam.

Na: Frank Shija, WHVUM

[DAR ES SALAAM] Wasambazaji wa Filamu za nje wametakiwa kuwasilisha filamu wanazosambaza katika ofisi za Bodi ya Filamu kwa ajili ya ukaguzi mapema ifikapo tarehe 30 mezi huu.

Agizo hilo limetolewa na Katibu Mtendaji wa Bodi...

 

9 years ago

Mtanzania

Waandishi wa habari watakiwa kufuata maadili

Tabu-ShaibuNA ESTHER MNYIKA, DAR ES SALAAM

WADAU wa habari wamewataka waandishi wa habari kufuata maadili ya taaluma yao ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu kuwa huru na haki.

Akizungumza Dar es Salaam juzi katika Kongamano la Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC),  Ofisa Habari kwa Umma wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, aliyemwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alisema wadau wote wa habari wanajua kuwa uchaguzi mara nyingi unasababisha matatizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii watakiwa kufuata nyayo za Diamond

WASANII nchini wametakiwa kuiga mfano wa msanii Nasseb Abdul ‘Diamond’ wa kuwa na uongozi wa kusimamia kazi zake ili waweze kufanikiwa kupitia kazi zao na sio kulalamika kila siku. Hayo...

 

9 years ago

Habarileo

Madiwani watakiwa kufuata kasi ya Magufuli

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga vijijini kimewataka madiwani wote kutofanya kazi kwa mazoea na kwenda sambamba na kasi ya utendaji kazi wa Dk John Magufuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani