Madiwani watakiwa kufuata kasi ya Magufuli
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga vijijini kimewataka madiwani wote kutofanya kazi kwa mazoea na kwenda sambamba na kasi ya utendaji kazi wa Dk John Magufuli.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAHITIMU MUHAS WATAKIWA KUFUATA KASI YA MAGUFULI
![](http://4.bp.blogspot.com/-m5YdrElzgVo/VmVawYufW2I/AAAAAAAIKow/lF2M7t4gD5c/s640/MUHAS%2B5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-D2WowwH6l8I/VmVaxQa5xyI/AAAAAAAIKpI/F1YSRVVTSJw/s640/MUHAS%2B8.jpg)
9 years ago
StarTV15 Dec
Watumishi wa umma watakiwa kujitathmini ili kuendana na Kasi Ya Dokta Magufuli
Watumishi wa umma wametakiwa kujitafakari na kujipima kama wanatosha kufanyakazi, itakayoendana na kasi ya uongozi uliopo madarakani chini ya Rais Magufuli, na wanapogundua kuwa hawana uwezo huo wameshauriwa kujiondoa wenyewe ili kupisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi.
Nguvu ya utendaji kazi wa Dokta Magufuli kwa muda usiozidi miezi miwili, umekonga nyoyo za watanzania ambapo wananchi wengi wameweka bayana mambo wanayoyatarajia kuyaona katika Tanzania mpya wanayodhani itawajengea imani ...
9 years ago
Habarileo14 Nov
Walimu waagizwa kufuata kasi ya Rais
WALIMU wametakiwa kufanya kazi kwa ufanisi, ubunifu na maarifa kuendana na kauli mbiu ya Rais John Magufuli ya Hapa Kazi tu ili wanafunzi waelewe kinachofundishwa darasani bila ya kutegemea masomo ya ziada.
10 years ago
Habarileo17 Mar
Waajiri watakiwa kufuata sheria
MWENYEKITI mpya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) amewataka waajiri na wafanyakazi wote nchini kufuata Sheria na Taratibu za Kazi, kwani uvunjwaji wake ndio chanzo kikubwa cha uwepo wa migogoro mingi inayowasilishwa kwenye tume hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
CCM watakiwa kufuata sheria
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amewataka wanasiasa wanaofanya mikutano ya hadhara katika majimbo yao kuacha mara moja kwani ni kuvunja sheria...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Wasanii watakiwa kufuata nyayo za Diamond
WASANII nchini wametakiwa kuiga mfano wa msanii Nasseb Abdul ‘Diamond’ wa kuwa na uongozi wa kusimamia kazi zake ili waweze kufanikiwa kupitia kazi zao na sio kulalamika kila siku. Hayo...
9 years ago
Mtanzania15 Oct
Waandishi wa habari watakiwa kufuata maadili
NA ESTHER MNYIKA, DAR ES SALAAM
WADAU wa habari wamewataka waandishi wa habari kufuata maadili ya taaluma yao ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu kuwa huru na haki.
Akizungumza Dar es Salaam juzi katika Kongamano la Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC), Ofisa Habari kwa Umma wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, aliyemwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alisema wadau wote wa habari wanajua kuwa uchaguzi mara nyingi unasababisha matatizo...
9 years ago
StarTV15 Nov
Wachimbaji watakiwa kufuata sheria ya uchimbaji
Kamati maalum iliyoundwa na Serikali kushughulikia tatizo la muingiliano ndani ya migodi ya madini katika machimbo ya Madini ya TANZANITE Mirerani, imetoa uamuzi wa kuwataka wachimbaji wote kufuata sheria ya uchimbaji kulingana na leseni zao.
Hatua hiyo inatazamiwa kwamba huwenda ikasaidia kutatua matatizo ya mara kwa mara baina ya wachimbaji wadogo na wakubwa wanapokutana chini ya ardhi tukio linalofahamika zaidi kwa jina la “MTOBOZANO”
Awali Serikali iliamua kuunda kamati maalumu...
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Bodaboda Geita watakiwa kufuata sheria
JESHI la Polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Geita, limewataka waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda na baiskeli kuacha tabia ya kuingia kwenye barabara kubwa bila kufuata sheria za barabarani. Akizungumza...