WAHITIMU MUHAS WATAKIWA KUFUATA KASI YA MAGUFULI
Mkuu wa chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbilin (MUHAS) na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Al-Haj Dr Ali Hassan Mwinyi, akimtunuku shahada (degree) ya Uzamili moja wa wahitimu katika Mahafali ya tisa ya chuo hicho yalifanyika mwishoni mwa wiki chuoni hapo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni pamoja na Makamu Mkuu wa chuo hicho, Prof Ephata Kaaya (wa kwanza kushoto). Baadhi ya wahitimu wa MUHAS wakila kiapo cha taaluma kwenye mahafali hayo.Baadhi ya wahitimu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo08 Dec
Madiwani watakiwa kufuata kasi ya Magufuli
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga vijijini kimewataka madiwani wote kutofanya kazi kwa mazoea na kwenda sambamba na kasi ya utendaji kazi wa Dk John Magufuli.
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Wahitimu wa Vyuo Vikuu nchini watakiwa kumsaidia Rais Dkt. Magufuli kupambana na ufisadi-Dr.Walukani
Proffessa, John Adamson Mwakilima akitunuku Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika Maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life Bible College and Seminary USA chenye tawi lake Kata ya Mlandizi mkoani hapa mhitimu Walukani Luhamba ambaye ni Ofisa Mfawidhi wa Sumatra Mkoa wa Tanga juzi.
Dr.Walukani Luhamba akipongezwa na Familia yake mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life Bible College and Seminary USA...
9 years ago
StarTV15 Dec
Watumishi wa umma watakiwa kujitathmini ili kuendana na Kasi Ya Dokta Magufuli
Watumishi wa umma wametakiwa kujitafakari na kujipima kama wanatosha kufanyakazi, itakayoendana na kasi ya uongozi uliopo madarakani chini ya Rais Magufuli, na wanapogundua kuwa hawana uwezo huo wameshauriwa kujiondoa wenyewe ili kupisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi.
Nguvu ya utendaji kazi wa Dokta Magufuli kwa muda usiozidi miezi miwili, umekonga nyoyo za watanzania ambapo wananchi wengi wameweka bayana mambo wanayoyatarajia kuyaona katika Tanzania mpya wanayodhani itawajengea imani ...
9 years ago
Habarileo14 Nov
Walimu waagizwa kufuata kasi ya Rais
WALIMU wametakiwa kufanya kazi kwa ufanisi, ubunifu na maarifa kuendana na kauli mbiu ya Rais John Magufuli ya Hapa Kazi tu ili wanafunzi waelewe kinachofundishwa darasani bila ya kutegemea masomo ya ziada.
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
CCM watakiwa kufuata sheria
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amewataka wanasiasa wanaofanya mikutano ya hadhara katika majimbo yao kuacha mara moja kwani ni kuvunja sheria...
10 years ago
Habarileo17 Mar
Waajiri watakiwa kufuata sheria
MWENYEKITI mpya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) amewataka waajiri na wafanyakazi wote nchini kufuata Sheria na Taratibu za Kazi, kwani uvunjwaji wake ndio chanzo kikubwa cha uwepo wa migogoro mingi inayowasilishwa kwenye tume hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Bodaboda Geita watakiwa kufuata sheria
JESHI la Polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Geita, limewataka waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda na baiskeli kuacha tabia ya kuingia kwenye barabara kubwa bila kufuata sheria za barabarani. Akizungumza...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Wasanii watakiwa kufuata nyayo za Diamond
WASANII nchini wametakiwa kuiga mfano wa msanii Nasseb Abdul ‘Diamond’ wa kuwa na uongozi wa kusimamia kazi zake ili waweze kufanikiwa kupitia kazi zao na sio kulalamika kila siku. Hayo...
9 years ago
Mtanzania15 Oct
Waandishi wa habari watakiwa kufuata maadili
NA ESTHER MNYIKA, DAR ES SALAAM
WADAU wa habari wamewataka waandishi wa habari kufuata maadili ya taaluma yao ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu kuwa huru na haki.
Akizungumza Dar es Salaam juzi katika Kongamano la Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC), Ofisa Habari kwa Umma wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, aliyemwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alisema wadau wote wa habari wanajua kuwa uchaguzi mara nyingi unasababisha matatizo...