Mambo ya kufahamu ili kuepuka athari na kuongeza ufanisi wa Wafanyakazi wa nyumbani
Kutokana na hali ya maisha kubadilika na kufanya wazazi wote wawili yaani baba na mama kulazimika kufanya kazi au kwenda kazini, jukumu la malezi ya watoto majumbani limebakia kwa kiasi kikubwa mikononi mwa wafanyakazi wa ndani “house girlsâ€.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZFVQGyC-7KhAiarbr7-yximWStYVU8KV02NrdkwX0fM9hABnp1N9js0ZUZQ7Iz8T82HpjgWZFv5HaO8AK1mxZpEdnrYcGaGT/27cybercrime.jpg)
MAMBO 10 YA KUEPUKA ILI SHERIA YA MITANDAO ISIKUPITIE
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Uchaguzi wa Zambia:Mambo ya kufahamu
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Exim yazindua kampeni kuongeza ufanisi
BENKI ya Exim imezindua kampeni maalumu ya ‘Power of Service’ inayolenga kuongeza ufanisi wa benki hiyo hususan katika suala la utoaji wa huduma. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
11 years ago
Habarileo28 Jan
Exim waja na mradi wa kuongeza ufanisi
BENKI ya Exim imezindua kampeni maalumu ya ‘Power of Service’ inayolenga kuongeza ufanisi wa benki hiyo hususani katika utoaji huduma. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo jijini Dar es Salaam jana, Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Exim, Siaophoro Kishimbo alisema kampeni hiyo imeanza katika wakati muafaka huku benki ikijikita katika dhamira ya kuwa benki chaguo la kwanza nchini Tanzania.
5 years ago
MichuziTEHAMA KUONGEZA UFANISI KATIKA SEKTA YA USHIRIKA
Hayo yamesemwa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) Dkt. Benson Ndiege wakati akifungua Kikao Kazi cha Mafunzo ya Mfumo wa Kukusanya Mapato...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Ok_6DtVPinM/VWcWGCQGvGI/AAAAAAAHabk/dR2htwbj9z8/s72-c/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
Watumishi Bodi ya Mikopo watakiwa kuongeza ufanisi
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ok_6DtVPinM/VWcWGCQGvGI/AAAAAAAHabk/dR2htwbj9z8/s640/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
Na Mwandishi wetu
Watumishi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu...
5 years ago
MichuziSerikali Yaziunganisha TPB NA TIB Kuongeza Ufanisi
Serikali imeziunganisha benki zake mbili za biashara, Benki ya Posta Tanzania (TPB Bank Plc) na Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB Corporate Limited) ili kuongeza ufanisi na kupunguza gharama za uendeshaji.
Akizungumza leo (Jumatatu Juni 1, 2020) jijini Dodoma, Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka alisema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali zenye lengo la kuboresha utendaji wa mashirika na taasisi za umma...
5 years ago
MichuziBENKI YA TPB NA TIB CORPRATE ZAUNGANISHWA KUONGEZA UFANISI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WBcLVo5_Qxg/VBgNOJpTxzI/AAAAAAACrDI/2b63XgKV2ww/s72-c/ERM%2BPIX%2B1.jpg)
Benki ya Exim yaingia ubia kuongeza ufanisi katika udhibiti wa majanga
![](http://4.bp.blogspot.com/-WBcLVo5_Qxg/VBgNOJpTxzI/AAAAAAACrDI/2b63XgKV2ww/s1600/ERM%2BPIX%2B1.jpg)