Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Exim waja na mradi wa kuongeza ufanisi

BENKI ya Exim imezindua kampeni maalumu ya ‘Power of Service’ inayolenga kuongeza ufanisi wa benki hiyo hususani katika utoaji huduma. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo jijini Dar es Salaam jana, Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Exim, Siaophoro Kishimbo alisema kampeni hiyo imeanza katika wakati muafaka huku benki ikijikita katika dhamira ya kuwa benki chaguo la kwanza nchini Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Exim yazindua kampeni kuongeza ufanisi

BENKI ya Exim imezindua kampeni maalumu ya ‘Power of Service’ inayolenga kuongeza ufanisi wa benki hiyo hususan katika suala la utoaji wa huduma. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaingia ubia kuongeza ufanisi katika udhibiti wa majanga

 Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti Majanga wa Benki ya Exim, Bw. David Lusala (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano kutangaza kuingia ubia na kampuni ya Hymans Robertson ya London ikishirikiana na  StraitsBridge Advisors (SBA) ya Singapore katika utoaji wa huduma kwenye masuala ya UdhibitI Majanga ijulikanayo kama Enterprise-Wide Risk Management (ERM). Wakishuhudia wa kwanza kulia ni Mwakilishi toka Hymans Robertson Bw. Maurice Kilavuka na Bw....

 

5 years ago

Michuzi

PIC YAIPONGEZA TPA KWA KUTEKELEZA KWA UFANISI MRADI WA KUCHIMBA NA KUONGEZA KINA LANGO LA KUINGILIA NA KUGEUZIA MELI CHA BANDARI YA TANGA

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit C.V. Kakoko akitoa taarifa ya Mpango wa Kitaasisi na Utendaji wa Bandari ya Tanga kwa Mwaka wa Fedha 2018/19 na Nusu Mwaka ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/2020 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ilipotembelea Bandari ya Tanga hivi karibuni.
 Sehemu ya wajumbe wa kamati hiyo wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano

  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali Yaziunganisha TPB NA TIB Kuongeza Ufanisi


 Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka  Na. Immaculate Makilika – MAELEZO

Serikali imeziunganisha benki zake mbili za biashara, Benki ya Posta Tanzania (TPB Bank Plc) na Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB Corporate Limited) ili kuongeza ufanisi na kupunguza gharama za uendeshaji.

Akizungumza leo (Jumatatu Juni 1, 2020) jijini Dodoma, Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka alisema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali zenye lengo la kuboresha utendaji wa mashirika na taasisi za umma...

 

5 years ago

Michuzi

TEHAMA KUONGEZA UFANISI KATIKA SEKTA YA USHIRIKA

Ukusanyaji wa mapato kutoka kwenye Vyama vya Ushirika unaendelea kuimarika kwa kiasi kubwa kupitia matumizi ya Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) hususan usahihi wa makusanyo, uwekaji wa kumbukumbu sahihi na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Ushirika.

Hayo yamesemwa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) Dkt. Benson Ndiege wakati akifungua Kikao Kazi cha Mafunzo ya Mfumo wa Kukusanya Mapato...

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi Bodi ya Mikopo watakiwa kuongeza ufanisi

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. George Nyatega (mwenye tai) akipokea tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti (RAAWU) - Tawi la HESLB Bw. Deodatus Mwiliko kutambua uongozi wake bora katika HESLB tangu ilipoanzishwa mwaka 2005. Wengine ni viongozi wa RAAWU-HESLB Bw. Luhano Lupogo na Bi. Octavia Selemani.
Na Mwandishi wetu
Watumishi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA TPB NA TIB CORPRATE ZAUNGANISHWA KUONGEZA UFANISI

 Msajili wa Hazina, Bw. Athumani Mbuttuka (kulia), akizungumza jambo baada ya kutangazwa kuunganishwa kwa Benki ya TIB na TPB Corporate, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dodoma.
 Msajili wa Hazina, Bw. Athumani Mbuttuka, akiwahakikishia wateja wa Benki ya TIB na TPB kuwa huduma hazitaathirika kutokana na kuunganishwa kwa Benki...

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo ya kufahamu ili kuepuka athari na kuongeza ufanisi wa Wafanyakazi wa nyumbani

Kutokana na hali ya maisha kubadilika na kufanya wazazi wote wawili yaani baba na mama kulazimika kufanya kazi au kwenda kazini, jukumu la malezi ya watoto majumbani limebakia kwa kiasi kikubwa mikononi mwa wafanyakazi wa ndani “house girls”.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Exim yaanza kutekeleza dira kuongeza mapato

BENKI ya Exim Tanzania imeanza utekelezaji wa dira yake ya mwaka 2016 ambayo inalenga kuongeza mapato yake maradufu na kuiongezea amana katika soko ifikapo mwaka 2016. Ikiwa ni benki inayoshika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani