Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Exim yaingia ubia kuongeza ufanisi katika udhibiti wa majanga

 Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti Majanga wa Benki ya Exim, Bw. David Lusala (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano kutangaza kuingia ubia na kampuni ya Hymans Robertson ya London ikishirikiana na  StraitsBridge Advisors (SBA) ya Singapore katika utoaji wa huduma kwenye masuala ya UdhibitI Majanga ijulikanayo kama Enterprise-Wide Risk Management (ERM). Wakishuhudia wa kwanza kulia ni Mwakilishi toka Hymans Robertson Bw. Maurice Kilavuka na Bw....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Exim waja na mradi wa kuongeza ufanisi

BENKI ya Exim imezindua kampeni maalumu ya ‘Power of Service’ inayolenga kuongeza ufanisi wa benki hiyo hususani katika utoaji huduma. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo jijini Dar es Salaam jana, Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Exim, Siaophoro Kishimbo alisema kampeni hiyo imeanza katika wakati muafaka huku benki ikijikita katika dhamira ya kuwa benki chaguo la kwanza nchini Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Exim yazindua kampeni kuongeza ufanisi

BENKI ya Exim imezindua kampeni maalumu ya ‘Power of Service’ inayolenga kuongeza ufanisi wa benki hiyo hususan katika suala la utoaji wa huduma. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Zantel yaingia ubia na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kutoa huduma za kibenki kupitia simu za mkononi

1

Waziri wa Fedha wa Zanzibar, Mheshimiwa Omari Yusuf Mzee, akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki yako Kiganjani ya Zantel pamoja na benki ya PBZ. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Zantel, Pratap Ghose, akifuatiwa na Mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Salmin Senga, na mwisho kulia ni Mkurugenzi wa benki ya PBZ, Juma Mohammed.

3

Mkurugenzi wa Zantel, Pratap Ghose akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya kati ya kampuni yake na benki ya PBZ, Benki Yako...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA TPB NA TIB CORPRATE ZAUNGANISHWA KUONGEZA UFANISI

 Msajili wa Hazina, Bw. Athumani Mbuttuka (kulia), akizungumza jambo baada ya kutangazwa kuunganishwa kwa Benki ya TIB na TPB Corporate, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dodoma.
 Msajili wa Hazina, Bw. Athumani Mbuttuka, akiwahakikishia wateja wa Benki ya TIB na TPB kuwa huduma hazitaathirika kutokana na kuunganishwa kwa Benki...

 

5 years ago

Michuzi

TEHAMA KUONGEZA UFANISI KATIKA SEKTA YA USHIRIKA

Ukusanyaji wa mapato kutoka kwenye Vyama vya Ushirika unaendelea kuimarika kwa kiasi kubwa kupitia matumizi ya Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) hususan usahihi wa makusanyo, uwekaji wa kumbukumbu sahihi na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Ushirika.

Hayo yamesemwa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) Dkt. Benson Ndiege wakati akifungua Kikao Kazi cha Mafunzo ya Mfumo wa Kukusanya Mapato...

 

10 years ago

Mwananchi

Ubia utachochea ufanisi kwenye kilimo nchini

Wapendwa wasomaji baada ya kuangalia mikakati ya BRN katika kuongeza uzalishaji na usalama wa chakula na masoko ya kilimo, wiki iliyopita, leo tunaangalia namna ubia kati ya wakulima wadogo na wakubwa utakavyosaidia kuongeza tija na uhakika wa masoko hasa kwa wakulima wadogo.

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim Ilivyoshiriki Katika Mbio za Magari Tanga

 Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Tanga, Bw. Gabriel masanja  (wapili kulia) akipeana mkono na Bw. Rajpaul Singh Dhani (kulia) dereva wa gari ya mashindano iliyoiwakilisha benki hiyo katika mchezo wa mashindano ya magari uliyofanyika mkoani Tanga hivi katibuni. Wengine katika picha ni wafanyakazi wa benki hiyo tawi la Tanga.Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Tanga, Bw. Gabriel masanja  (wa kwanza kushoto) pamoja na Bw. Rajpaul Singh Dhani (Wa tatu kushoto) dereva wa gari (iliyopo mbele yao)ya...

 

5 years ago

Michuzi

MASAUNI ATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU CHA KARANGA MKOANI KILIMANJARO,AWATAKA KUONGEZA UFANISI KATIKA BIDHAA



 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiangalia kiatu kinachotengenezwa katika Kiwanda cha Gereza Karanga mkoani Kilimanjaro,mwishoni mwa wiki  wakati wa Ziara ya Ukaguzi wa shughuli zinazofanywa kiwandani hapo ambapo aliwataka uongozi wa kiwanda hicho kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa bidhaa hizo za ngozi ili...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim katika Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014

 Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim Tanzania, Bi. Agnes Kaganda (mwenye fulana nyeupe)akiwapa somo wafanyabiashara wadogo juu ya umuhimu wa kutumia huduma za kifedha na kibenki ili kukuza biashara zao wakati wa Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014 iliyoandaliwa na kampuni ya Nuebrand iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim Tanzania, Bi. Agnes Kaganda (mwenye fulana nyeupe)akiwapa somo wafanyabiashara wadogo juu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani