Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umakini unahitajika ubinafsishaji kinu cha NMC

Mchakato wa kukibinafsisha kinu cha Shirika la Usagishaji la Taifa (NMC), Tawi la Arusha ambacho ni pekee kimesalia mikononi mwa umma kati ya vinu zaidi ya 12 vilivyokuwapo katika mikoa mbalimbali nchini, unaendelea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Ykileo

UMAKINI ZAIDI UNAHITAJIKA KWA WATUMIAJI MITANDAO.

Ukuaji wa Sekta ya TEHAMA umekuwa wa mafanikio na msaada mkubwa katika kuharakisha, kuboresha na kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi na kuchangia  kikamilifu katika kukuza uchumi na kuleta maendeleo ya Taifa letu. Kwa mfano, wananchi walio wengi sasa wanapata huduma mbalimbali za mtandao kwa kutuma na kupokea pesa; kulipia ankara za maji, umeme na tozo mbalimbali kama vile ada na leseni; na mawasiliano ya simu na intaneti pamoja na elimu mtandao na tiba mtandao.


Palipo na mafanikio...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Isunga Nzega wailalamikia Serikali Ubinafsishaji Mgodi Wa Kijiji

Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Isunga wilayani Nzega mkoani Tabora wanaojihusisha na uchimbaji mdogo wa dhahabu wameilalamikia Serikali ya kijiji kwa kutaka kuubinafsisha mgodi huo kwa kampuni ya uwekezaji ya Duva bila kutoa taarifa rasmi kwa wananchi.

Hofu hiyo inakuja baada ya kuona kampuni ya Duva ikiingia mkataba na kijiji hicho wa kuchenjua mchanga wa dhahabu bila wananchi kupewa taarifa kama sheria za Serikali za mitaa zinavyoelekeza.

Shuguli kubwa za kiuchumi katika kijiji hicho ni...

 

11 years ago

BBCSwahili

Msaada wa dharura unahitajika Syria

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon anasema kuwa nusu ya wananchi wa Syria wanahitaji msaada wa dharura wa kibinadamu.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ubunifu Unahitajika kwa Wachekeshaji!

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva,  Baby Madaha, amesema ubunifu kwenye kazi za sanaa hasa za uchekeshaji ni jambo la msingi kuzingatiwa kwa kuwa wasanii wengi wa filamu za vichekesho wamekuwa wakilipua kazi zao na kuchosha watazamaji.

“Suala la ubunifu kwenye kazi za sanaa ni jambo la msingi, inatakiwa shabiki akiangalia filamu ya vichekesho asichoke kuiangalia maana haitakuwa na maana kama filamu ya vichekesho, lakini mtu anaitazama mwanzo hadi mwisho amekasirika badala ya...

 

11 years ago

GPL

SOMETIMES UONGO UNAHITAJIKA KWENYE MAPENZI!

KILA kukicha kunaibuka mambo mapya. Katika ulimwengu wa mapenzi kila siku lazima uwe mwanafunzi ili uweze kuboresha uhusiano wako. Ukiacha ubongo wako uingize vitu vipya ni rahisi kubadilika na kuwa wa kisasa zaidi. Somo la leo linashangaza kidogo lakini ni vizuri kama tukijifunza. Tumezoea kusikia kuwa uongo ni kitu kibaya katika maisha ya mwanadamu – ni kweli. Uongo si mzuri lakini katika uhusiano na mapenzi, wakati...

 

11 years ago

GPL

‘SOMETIMES’ UONGO UNAHITAJIKA KWENYE MAPENZI!-3

AFYA yangu ni njema na ninaendelea vyema na pilikapilika za kuhangaikia mkate wa kila siku. Sina shaka nawe rafiki yangu utakuwa mzima wa afya njema na unapambana na maisha. Kama ndivyo ni jambo zuri la kupendeza. Katika maisha ni vyema kuendeleza mapambano kila siku ili kuyaendea mafanikio. Somo letu leo linafikia ukingoni. Kiukweli limekuwa somo lenye changamoto nyingi sana kutoka kwa watu mbalimbali.
Baadhi wanajiuliza,...

 

11 years ago

GPL

‘SOMETIMES’ UONGO UNAHITAJIKA KWENYE MAPENZI!-2

FUNGUA ubongo wako sasa, maana muda wa kujifunza kuhusu uhusiano na mapenzi umewadia. Huwezi kukwepa kujifunza, ukifanya hivyo utabaki na mawazo yaleyale kila siku.
Inawezekana kwa uelewa wako kuna mambo ambayo unayafahamu kuhusu mapenzi, lakini kwa kuwa mdau wa kona hii, unaongeza kitu kingine kipya kila siku. Naam! Sasa nipo tayari kuendelea na mada yetu iliyoanza wiki iliyopita. Nazungumzia juu ya uongo wenye manufaa kwenye...

 

10 years ago

Mtanzania

Baby Madaha: Ubunifu unahitajika kwa wachekeshaji

babayNA GEORGE KAYALA
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Madaha, amesema ubunifu kwenye kazi za sanaa hasa za uchekeshaji ni jambo la msingi kuzingatiwa kwa kuwa wasanii wengi wa filamu za vichekesho wamekuwa wakilipua kazi zao na kuchosha watazamaji.
“Suala la ubunifu kwenye kazi za sanaa ni jambo la msingi, inatakiwa shabiki akiangalia filamu ya vichekesho asichoke kuiangalia maana haitakuwa na maana kama filamu ya vichekesho, lakini mtu anaitazama mwanzo hadi mwisho amekasirika badala ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani