Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAHADHARI: WATUMIAJI WA TELEVISHENI ZA PHILIPS WAKO HATARINI

Ni ukweli matumizi ya mtandao ni swala lisilo epukika katika kufanya mambo mbali mbali ya kila siku ikiwa ni pamoja na kufanya miamala ya biashara, mawasiliano, kuhabarisha na mengineyo.Taarifa ya awali niliyo iandikia kuhusiana na ukuwaji wa matumizi mtandao na athari zinazoendelea kukua inaweza kusomeka hapa “TANZANIA NA HALI YA USALAMA MTANDAO” taarifa iliyo weza kusomwa na kituo cha radio cha “CLOUDS FM” na kuandikwa kirefu kupitia “MWANANCHI”


 Tishio jingene jipya la kiusalama...





Habari Zinazoendana

11 years ago

Ykileo

TAHADHARI: WATUMIAJI WA "INTERNET EXPLORER" WAKO HATARINI KIUSALAMA MTANDAO

Mwishoni mwa juma pamegundulika hali mbaya ya kiusalama mtandao itakayo waathiri watumiaji wa kivinjari kijulikanacho kama "internet explorer" ambapo watumiaji wa kivinjari hicho wako hatarini kuweza kuingiliwa kirahisi computer zao na wahalifu mtandao.

Jumamosi tangazo hilo linalosomeka hapa "TANGAZO" limeweza kubainisha internet explorer toleo la sita (6)  hadi la kumi na moja (11) yote yameweza kugundulika yanatoa mwanya kwa wahalifu mtandao kupenya kwa watumiaji na kuchukua taarifa...

 

11 years ago

Michuzi

TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA VIVINJARI VYA “INERNET EXPLORER”

Mwishoni mwa juma pamegundulika hali mbaya ya kiusalama mtandao itakayo waathiri watumiaji wa kivinjari kijulikanacho kama "internet explorer" ambapo watumiaji wa kivinjari hicho wako hatarini kuweza kuingiliwa kirahisi computer zao na wahalifu mtandao.
Jumamosi tangazo hilo linalosomeka hapa "TANGAZO" limeweza kubainisha internet explorer toleo la 6 hadi la 11 yote yameweza kugundulika yanatoa mwanya kwa wahalifu mtandao kupenya kwa watumiaji na kuchukua taarifa zozote zitakazo patikana...

 

10 years ago

BBCSwahili

AI:Walemavu wako hatarini Somalia

Amnesty International linasema kuwa watu wenye ulemavu wa kimwili nchini Somalia wako kwenye hatari kubwa ya kushambuliwa

 

11 years ago

Ykileo

TAHADHARI: “HEARTBLEED" BUG TISHIO JIPYA KWA WATUMIAJI MITANDAO



Wana mitandao kote duniani  hivi sasa bado wako katika hali ya taharuki kufuatia wataalam wa ulinzi mtandao kuweka hadharani tishio jipya la mapungufu yaliyo bainika yanayo ruhusu wahalifu mtandao kuweza kuiba maneno ya siri “passwords” na hata taarifa za kadi za ma benki.



“SSL” ambayo nimeifafanua zaidi kwenye chapisho langu linalosomeka WEB SECURITY ni moja ya program/ kiunganishi cha programu inayo aminika kuweza kuficha taarifa mitandaoni ili  kutoonekana kirahisi, ila baada ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

mamilioni wako hatarini kupata malale

Watu milioni sitini walio kusini mwa jangwa la sahara wako hatarini kupata ugonjwa wa malale

 

9 years ago

Vijimambo

TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA BARABARA YA LUPA ENEO LA NJIA PANDA ISANGA JIJINI MBEYA


Kipande cha barabara ya njia Panda Isanga karibu na Hotel ya Lifti Valey jijini Mbeya (LUPA WAY )ambacho kimejengwa upya kwa kuongezewa njia kimeleta sura mpya jijini hapa  lakini kimeleta pia changamoto kwa madereva hasa kwa nyakati za usiku  kwani hakuna taa hivyo nivema watumiaji wa barabara hii wakachukua tahadhari kwa kuto endesha kwa mwendo kasi ili kuepuka ajali zisizo za lazima ...JAMIIMOJABLOG

 

11 years ago

BBCSwahili

Tahadhari usalama wako

Twitter na Facebook zimetumiwa kusambaza ujumbe wa tahadhari miongoni mwa Wakenya kuhusu uwezekano wa kutokea mashambulio nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasiovuta sigara Tanzania wako hatarini kuathirika na tumbaku

>Ukipita maeneo mbalimbali hapa nchini kama vile vituo vya mabasi, sehemu za starehe, barabarani na vijiweni utashuhudia watu kadhaa wakivuta sigara.

 

9 years ago

StarTV

Wenye shughuli za kuhamahama wako hatarini zaidi kupata VVU:

 

Utafiti ulioendeshwa na Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na usafirishaji haramu wa binadamu IOM kwa ushirikiano na Jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC unaonesha kuwa jamii kubwa inayofanya shughuli za kiuchumi kwenye maeneo ya bandari iko kwenye hatari ya kuambukizwa ugonjwa wa UKIMWI kutokana na kutokuwepo kwa mtandao unaotoa elimu ya kupambana na ugonjwa huo kwenye mazingira yao.

Taarifa hiyo inasema, elimu juu ya matumizi ya kinga bado ni changamoto kwa jamii hiyo hivyo wengi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani