Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA BARABARA YA LUPA ENEO LA NJIA PANDA ISANGA JIJINI MBEYA


Kipande cha barabara ya njia Panda Isanga karibu na Hotel ya Lifti Valey jijini Mbeya (LUPA WAY )ambacho kimejengwa upya kwa kuongezewa njia kimeleta sura mpya jijini hapa  lakini kimeleta pia changamoto kwa madereva hasa kwa nyakati za usiku  kwani hakuna taa hivyo nivema watumiaji wa barabara hii wakachukua tahadhari kwa kuto endesha kwa mwendo kasi ili kuepuka ajali zisizo za lazima ...JAMIIMOJABLOG

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

11 years ago

GPL

CHEMBA ILIYOBOMOKA ENEO LA MWENGE YAWA KERO KWA WATUMIAJI WA BARABARA INAYOELEKEA AFRIKA SANA‏

Chemba iliyobomoka ikiwa wazi maeneo ya Mwenge. Mawe yakiwa yamewekwa kuzuia magari yasipite baada ya chemba hiyo kubomoka. CHEMBA iliyobomoka maeneo ya Mwenge Jijini Dar imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara ya kutoka Mwenge kuelekea Afrika Sana. Chemba hiyo ilibomoka baada ya gari…

 

10 years ago

Michuzi

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO ENEO LA SOWETO JIJINI MBEYA LEO

Nyumba ikiendelea kuteketea kwa moto mapema leo katika eneo la Soweto jijini Mbeya,Chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja.Picha na Fadhiri Atick Mr.Pengo,Mbeya.Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea kufanywa na baadhi ya majirani wa eneo ilipo nyumba hiyo,huku wakiendelea kukisubiria kikosi cha Zimamoto.Hakuna kilichobaki ndani ya Nyumba hiyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

Wana Njia Panda washiriki kufanya usafi katika Hospitali ya Amana jijini Dar es salaam

  
 Mtangazaji wa Kipindi cha Redio cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds FM Dkt. Isack Maro akizungumza na mwandishi wa habari wa Zanzibar Media Bi. Sophia Kingimali wakatika wa zoezi la usafi katika Hospilali ya Amana iliyopo Ilala, jana jijini Dar es Salaam. Wananjiapanda wamejitolea kufanya shughuli za usafi katika Hospitali hiyo ikiwa ni kutoa mchango wao kwa jamii inayowazunguka.  Mtangazaji wa Kipindi cha Redio cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds FM Dkt. Isack...

 

10 years ago

Mwananchi

Harusi za Mbeya lazima ulishe wapita njia eneo lako

Ama kweli duniani kuna mambo. Sikutarajia kuona gharama kubwa zaidi za harusi kwenye eneo masikini.

 

11 years ago

GPL

RIYAMA NJIA PANDA KWA MITUNGI

Stori: Erick Evarist Mh! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Riyama Ally, amejikuta akiwa njia panda baada ya kutakiwa kunywa pombe ya kienyeji aina ya ugimbi ambayo hajawahi kunywa maishani mwake. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Riyama Ally. Riyama aliingia kwenye mtihani huo juzikati pande za Songea alipokuwa amekwenda kikazi ambapo alitakiwa kunywa pombe hiyo kutokana na matakwa ya filamu lakini akashindwa. “Ulikuwa...

 

11 years ago

Michuzi

TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA VIVINJARI VYA “INERNET EXPLORER”

Mwishoni mwa juma pamegundulika hali mbaya ya kiusalama mtandao itakayo waathiri watumiaji wa kivinjari kijulikanacho kama "internet explorer" ambapo watumiaji wa kivinjari hicho wako hatarini kuweza kuingiliwa kirahisi computer zao na wahalifu mtandao.
Jumamosi tangazo hilo linalosomeka hapa "TANGAZO" limeweza kubainisha internet explorer toleo la 6 hadi la 11 yote yameweza kugundulika yanatoa mwanya kwa wahalifu mtandao kupenya kwa watumiaji na kuchukua taarifa zozote zitakazo patikana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani