Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO ENEO LA SOWETO JIJINI MBEYA LEO

Nyumba ikiendelea kuteketea kwa moto mapema leo katika eneo la Soweto jijini Mbeya,Chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja.Picha na Fadhiri Atick Mr.Pengo,Mbeya.Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea kufanywa na baadhi ya majirani wa eneo ilipo nyumba hiyo,huku wakiendelea kukisubiria kikosi cha Zimamoto.Hakuna kilichobaki ndani ya Nyumba hiyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO JIJINI MBEYA

Wakazi wa eneo la Makunguru jijini Mbeya wakiwa wamesimama nje nyumba iliopo kwenye eneo hilo ambayo imepatwa na dhahma ya kuungua moto na kuteketea kwa mali zote zilizokuwemo ndani ya nyumba hiyo, kutokana na kinachosadikiwa kuwa ni hitilafu ya umeme. Bado haijadhibitika mpaka sasa kama kuna mtu yeyote aliedhurika kwenye tukio hilo lililotokea mchana wa jana jijini humo.…
...

 

11 years ago

Michuzi

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO

Gari ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa eneo la Mwanyamala mapema leo mchana,ambapo moto mkubwa umezuka na kuteketeza nyumba nzima na  mali zilizokuwemo,ambazo thamani yake haikujulikana mapema,tukio hilo limetokea maeneo ya Mwananyamala jirani na hospitali ya Mwananyamala.Baadhi ya watu wakishuhudia tukio la Moto lililotokea mapema leo mchana,ambapo moto huo umeteketeza nyumba nzima na mali zilizokuwemo,ambazo thamani yake mpaka Globu ya jamii inaondoka eneo la tukio haikufahamika.

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO ILALA JIJINI DAR LEO

 Sehemu ya waokoaji katika Nyumba iliyoteketea kwa moto, wakiangalia namna ya kuokoa wa baadhi ya mali zilizokuwepo ndani ya nyumba hiyo, moto huo umetokea mchana wa leo katika mtaa wa Tabora, Ilala jijini Dar es salaam. Chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja.
Shughuli ya uzimaji moto huo ikielekea ukingoni baada ya kikosi cha zima moto kufika eneo la tukio na kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa.

 

10 years ago

Michuzi

nyumba, magari mawili yateketezwa kwa moto katika vurugu eneo la Olasiti jijini Arusha leo

Vurugu kubwa zinaripotiwa kutokea leo maeneo ya Olasiti jijini Arusha baaada ya habari ambazo bado kuthibitishwa rasmi zimeanza kufuatia mtu mmoja kukuta mfanyakazi wake wa kike akiwa  amelala  na anayedaiwa kuwa mpenzi wake ndani ya nyumba anayofanyia kazi. Inasemekana baba mwenye nyumba alikasirika sana kwa kitendo hicho na akampiga huyo kijan hadi akafa. Ndipo marafiki wa huyo anayedaiwa kuuwawa wakakusanyika nyumbani hapo na kuchoma moto nyumba na magari mawili kabla askari wa kutuliza...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO KILWA MASOKO USIKU WA KUAMKIA LEO

Na Abdulaziz Ahmeid,Kilwa Masoko 
Familia moja ya Bw Bernad Towele dereva wa Gari la Takukuru Wilayani Kilwa Imenusurika baada ya Nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia katika mji mdogo wa kilwa masoko.
Akithibitisha kutokea kwa tukio la Ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 6 usiku kuamkia leo,Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi,Joseph Mfungomara alieleza kuwa chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana ila hakuna majeruhi.
Kamanda Mfungomara alimalizia kuwa Vitu...

 

9 years ago

Bongo5

Nyumba ya Batuli yateketea kwa moto

Nyumba ya muigizaji wa filamu, Batuli imetekea kwa moto. Nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. “Nilikuwa saluni najiandaa ili niende kwenye fainali za TMT ndipo nilipopigiwa simu na majirani majira ya saa tatu usiku kuwa nyumba yangu inaungua na imeteketea yote kwa moto,” Batuli aliiambia Clouds FM. “Iliniuma sana vitu […]

 

10 years ago

GPL

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA, DAR

Nyumba iliyoteketea kwa moto. Mashuhuda wa tukio wakitazama nyumba iliyoungua.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani