TAHADHARI: WATUMIAJI WA "INTERNET EXPLORER" WAKO HATARINI KIUSALAMA MTANDAO
![](http://4.bp.blogspot.com/-TFbMorHU4_c/U19FZkNtAlI/AAAAAAAAAdA/uaAaJBOAIC0/s72-c/images.jpg)
Mwishoni mwa juma pamegundulika hali mbaya ya kiusalama mtandao itakayo waathiri watumiaji wa kivinjari kijulikanacho kama "internet explorer" ambapo watumiaji wa kivinjari hicho wako hatarini kuweza kuingiliwa kirahisi computer zao na wahalifu mtandao.
Jumamosi tangazo hilo linalosomeka hapa "TANGAZO" limeweza kubainisha internet explorer toleo la sita (6) hadi la kumi na moja (11) yote yameweza kugundulika yanatoa mwanya kwa wahalifu mtandao kupenya kwa watumiaji na kuchukua taarifa...
Habari Zinazoendana
11 years ago
Ykileo![](http://1.bp.blogspot.com/-BInnCQQQqgQ/U2Nczijn-sI/AAAAAAAAAdg/0GakbsNLRho/s72-c/1.jpg)
TAHADHARI: WATUMIAJI WA TELEVISHENI ZA PHILIPS WAKO HATARINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-BInnCQQQqgQ/U2Nczijn-sI/AAAAAAAAAdg/0GakbsNLRho/s1600/1.jpg)
Tishio jingene jipya la kiusalama...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MxiwEdY-mAE/U19PJeLxleI/AAAAAAAFd38/1vVmYXvSIfE/s72-c/Internet-Explorer.jpg)
TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA VIVINJARI VYA “INERNET EXPLORER”
![](http://4.bp.blogspot.com/-MxiwEdY-mAE/U19PJeLxleI/AAAAAAAFd38/1vVmYXvSIfE/s1600/Internet-Explorer.jpg)
Jumamosi tangazo hilo linalosomeka hapa "TANGAZO" limeweza kubainisha internet explorer toleo la 6 hadi la 11 yote yameweza kugundulika yanatoa mwanya kwa wahalifu mtandao kupenya kwa watumiaji na kuchukua taarifa zozote zitakazo patikana...
11 years ago
Ykileo![](http://1.bp.blogspot.com/-VP6GEZljf1Q/U3no0iY-i6I/AAAAAAAAAf0/glm8dVIWCxw/s72-c/112.jpg)
WASIWASI WA KIUSALAMA MTANDAO WA TANDA KWA WATUMIAJI SIMU ZA ANDROID
![](http://1.bp.blogspot.com/-VP6GEZljf1Q/U3no0iY-i6I/AAAAAAAAAf0/glm8dVIWCxw/s1600/112.jpg)
Kile kilicho onekana sana kwa watumiaji wa komputa ambapo wahalifu wanazifunga...
11 years ago
Ykileo![](http://3.bp.blogspot.com/-zNNaFVkPs5w/U2g9hkvsS5I/AAAAAAAAAe8/0HCoZJ_3nZg/s72-c/1111.jpg)
TEKNOLOGIA NA CHANGAMOTO ZA KIUSALAMA MTANDAO.
![](http://3.bp.blogspot.com/-zNNaFVkPs5w/U2g9hkvsS5I/AAAAAAAAAe8/0HCoZJ_3nZg/s1600/1111.jpg)
Kama ilivyo katika maswala mbalimbali, Teknolojia nayo ina changamoto zake. Kwenye ukurasa huu kumekua kukijadiliwa changamoto mbali mbali kila kukicha za kiusalama mtandao. Baadhi ya vitu vitakavyo onekana katika video hapo chini ni pamoja na mambo...
11 years ago
Ykileo![](http://4.bp.blogspot.com/-d-evqmfxIik/U5MEWTRrQXI/AAAAAAAAAps/lfesbpFVj40/s72-c/00.jpg)
KUPERUZI KUPITIA WI-FI NI HATARI ZAIDI KIUSALAMA MTANDAO
![](http://4.bp.blogspot.com/-d-evqmfxIik/U5MEWTRrQXI/AAAAAAAAAps/lfesbpFVj40/s1600/00.jpg)
Haya niliyabainisha wakati nazungumzia changamoto mbali mbali tunazokumbana nazo za kiusalama mtandao kupitia matumizi yasiyo salama ya Wi-Fi yanayo endelea kushika kasi kaika maeneo mbali mbali hivi...
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Tahadhari kwa waraibu wa Internet
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
AI:Walemavu wako hatarini Somalia
11 years ago
Ykileo![](http://4.bp.blogspot.com/-IzqztVBnvSQ/U0nbKS73FeI/AAAAAAAAAU4/-k4y8LULBVw/s72-c/HRT.jpg)
TAHADHARI: “HEARTBLEED" BUG TISHIO JIPYA KWA WATUMIAJI MITANDAO
Wana mitandao kote duniani hivi sasa bado wako katika hali ya taharuki kufuatia wataalam wa ulinzi mtandao kuweka hadharani tishio jipya la mapungufu yaliyo bainika yanayo ruhusu wahalifu mtandao kuweza kuiba maneno ya siri “passwords” na hata taarifa za kadi za ma benki.
![](http://4.bp.blogspot.com/-IzqztVBnvSQ/U0nbKS73FeI/AAAAAAAAAU4/-k4y8LULBVw/s1600/HRT.jpg)
“SSL” ambayo nimeifafanua zaidi kwenye chapisho langu linalosomeka WEB SECURITY ni moja ya program/ kiunganishi cha programu inayo aminika kuweza kuficha taarifa mitandaoni ili kutoonekana kirahisi, ila baada ya...
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
mamilioni wako hatarini kupata malale