Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASIWASI WA KIUSALAMA MTANDAO WA TANDA KWA WATUMIAJI SIMU ZA ANDROID

Ransomware Gang, imebashiriwa kuleta athari kubwa sana kwa watumiaji wa simu za androids. Kauli hii iliainishwa na mkurugenzi mkuu wa Trend Micro bwana JD Sherry baada ya kunukuliwa akisema mwaka huu wa 2014 watumiaji simu wanategemea kuathirika zaidi kiusalama mtandao huku akionyesha wasi wasi kuwa wateja/watumiaji wa simu hizo hawako tayari (bado hawajajipanga) kukabiliana na changamoto hii ya kiusalama.



Kile kilicho onekana sana kwa watumiaji wa komputa ambapo wahalifu wanazifunga...





Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kicheko kwa watumiaji wa simu za mfumo wa Android

Miongoni mwa changamoto kubwa iliyopo sasa katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea kwa watumiaji wa simu za mikononi ni kupotewa na simu zao ama kuibwa.

 

11 years ago

Ykileo

TAHADHARI: WATUMIAJI WA "INTERNET EXPLORER" WAKO HATARINI KIUSALAMA MTANDAO

Mwishoni mwa juma pamegundulika hali mbaya ya kiusalama mtandao itakayo waathiri watumiaji wa kivinjari kijulikanacho kama "internet explorer" ambapo watumiaji wa kivinjari hicho wako hatarini kuweza kuingiliwa kirahisi computer zao na wahalifu mtandao.

Jumamosi tangazo hilo linalosomeka hapa "TANGAZO" limeweza kubainisha internet explorer toleo la sita (6)  hadi la kumi na moja (11) yote yameweza kugundulika yanatoa mwanya kwa wahalifu mtandao kupenya kwa watumiaji na kuchukua taarifa...

 

10 years ago

Mwananchi

TCCIA yawatoa wasiwasi watumiaji wa Bandari Tang

Chama cha Wafanyibiashara, Kilimo na Viwanda (TCCIA), Mkoa wa Tanga kimekanusha uvumi unaodai kuwa kampuni za meli na mawakala wana mpango wa kuisusa Bandari ya Tanga kutokana na mizigo michache inayoingia na kwenda nje.

 

11 years ago

Ykileo

TEKNOLOGIA NA CHANGAMOTO ZA KIUSALAMA MTANDAO.

Teknolojia bado inaendelea kukua kila siku, Mambo mengi yame endelea kugundulika kupitia teknolojia hii leo. Pia Teknolojia imeendelea kusaidia urahisishaji wa mambo mengi sana ambayo awali yalikua ni magumu au kuchukua muda mrefu kukamilika.

Kama ilivyo katika maswala mbalimbali, Teknolojia nayo ina changamoto zake. Kwenye ukurasa huu kumekua kukijadiliwa changamoto mbali mbali kila kukicha za kiusalama mtandao. Baadhi ya vitu  vitakavyo onekana katika video hapo chini ni pamoja na mambo...

 

10 years ago

GPL

HABARI NJEMA KWA WATUMIAJI WA SIMU ZA MKONONI

Je, upo tayari kupokea habari Exclusive sambamba na picha na video kutoka Global Publishers katika simu yako ya mkononi? Huduma hii itakuwa tayari hivi karibuni katika simu yako ya mkononi. Ili kufanikisha jambo hili, tafadhali tusaidie kutoa maoni yako kwa kujaza fomu kwenye Link hii: http://bit.ly/globalpublishers kisha itume. Asante kwa ushirikiano. Imetolewa na… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Hofu mpya kwa watumiaji wa simu za mkononi

Kwani teknolojia inamwezesha mtumiaji yeyote kuingilia mawasiliano katika simu yako na kufyonza taarifa mbalimbali  kama ujumbe mfupi, barua pepe, simu zinazotoka na kuingia, picha unazopiga au kutumiwa hata video, pia inaweza kubaini eneo alipo mtu.

 

11 years ago

Ykileo

KUPERUZI KUPITIA WI-FI NI HATARI ZAIDI KIUSALAMA MTANDAO

“Pale mtumia mtandao anapotumia Wi-Fi ilikupata intaneti anajiweka katika hali tativu  kiusalama mtandao zaidi ya Yule anae tumia mtandao unaotumia nyaya za intaneti – Kwa lugha ya kingereza, wireless LAN is more vulnerable to cyber-attacks compare to wired LAN” – Yusuph Kileo.


Haya niliyabainisha wakati nazungumzia changamoto mbali mbali tunazokumbana nazo za kiusalama mtandao kupitia matumizi yasiyo salama ya Wi-Fi yanayo endelea kushika kasi kaika maeneo mbali mbali hivi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCF: Ukuaji teknolojia ya simu ulete tija kwa watumiaji

KAMPUNI za simu nchini zimetakiwa kuhakikisha zinatumia fursa ya ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano ya simu kuleta tija kwa watumiaji wake. Wito huo ulitolewa jana na Mwenyekiti wa Jukwaa la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani