Hofu mpya kwa watumiaji wa simu za mkononi
Kwani teknolojia inamwezesha mtumiaji yeyote kuingilia mawasiliano katika simu yako na kufyonza taarifa mbalimbali kama ujumbe mfupi, barua pepe, simu zinazotoka na kuingia, picha unazopiga au kutumiwa hata video, pia inaweza kubaini eneo alipo mtu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLHABARI NJEMA KWA WATUMIAJI WA SIMU ZA MKONONI
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI NA KUHAKIKI NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI KWA TEKNOLOJIA MPYA YA KYC KUPITIA SMARTPHONE LEO JIJINI DAR.
10 years ago
MichuziKAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Teknolojia mpya ya KYC ya kusajili na kuhakiki namba za simu za mkononi kupitia Smartphone yazinduliwa nchini
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma akifungua mkutano na waandishi wa Habari na kuzungumzia umuhimu wa kusajili namba za simu za Mkononi na Mfumo mpya wa kusajili namba na kuhakiki kutumia Teknolojia mpya ya Kielekroniki..
Mwenyekiti wa umoja wa makampuni ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bwana Rene Meeza akitamka rasmi uzinduzi wa usajili mpya wa simu za mikononi kwa kutumia Teknolojia mpya ya kutumia smart...
11 years ago
Mwananchi27 May
Kicheko kwa watumiaji wa simu za mfumo wa Android
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
TCF: Ukuaji teknolojia ya simu ulete tija kwa watumiaji
KAMPUNI za simu nchini zimetakiwa kuhakikisha zinatumia fursa ya ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano ya simu kuleta tija kwa watumiaji wake. Wito huo ulitolewa jana na Mwenyekiti wa Jukwaa la...
11 years ago
YkileoWASIWASI WA KIUSALAMA MTANDAO WA TANDA KWA WATUMIAJI SIMU ZA ANDROID
Kile kilicho onekana sana kwa watumiaji wa komputa ambapo wahalifu wanazifunga...
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Wabuni ufundishaji wa hesabu kwa kutumia simu za mkononi