ALIENS; BADO TISHIO JIPYA DUNIANI!
![](http://api.ning.com:80/files/Ccv79ba4KWCyceYbCN2PnejVO7p6lkLV1wAQD-AVs3tV3**WDuzPyVqzM8JR*Y42R*SDxfoDMYlYAHSqKh37a4bfJ4TL3QVg/aliens610.jpg?width=650)
LIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza jinsi ambavyo kwenye miaka ya hivi karibuni, neno UFO (Unidentified Flying Objects) limechukua kasi hasa nchi za Magharibi, Asia na nyinginezo. Taarifa zisizokuwa rasmi zinadai UFO ni vyombo vya angani kama ndege za ajabu vinavyotumiwa na Aliens ambavyo tabia zake ni tofauti sana na vyombo vyetu vya anga. SASA ENDELEA… Kuna dhana nyingi mno katika ishu hii ya Aliens. Je, wewe...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Heartbleed bug: Tishio jipya la uhalifu kwa watumiaji mitandao
11 years ago
Ykileo![](http://4.bp.blogspot.com/-IzqztVBnvSQ/U0nbKS73FeI/AAAAAAAAAU4/-k4y8LULBVw/s72-c/HRT.jpg)
TAHADHARI: “HEARTBLEED" BUG TISHIO JIPYA KWA WATUMIAJI MITANDAO
Wana mitandao kote duniani hivi sasa bado wako katika hali ya taharuki kufuatia wataalam wa ulinzi mtandao kuweka hadharani tishio jipya la mapungufu yaliyo bainika yanayo ruhusu wahalifu mtandao kuweza kuiba maneno ya siri “passwords” na hata taarifa za kadi za ma benki.
![](http://4.bp.blogspot.com/-IzqztVBnvSQ/U0nbKS73FeI/AAAAAAAAAU4/-k4y8LULBVw/s1600/HRT.jpg)
“SSL” ambayo nimeifafanua zaidi kwenye chapisho langu linalosomeka WEB SECURITY ni moja ya program/ kiunganishi cha programu inayo aminika kuweza kuficha taarifa mitandaoni ili kutoonekana kirahisi, ila baada ya...
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Ebola bado tishio
10 years ago
BBCSwahili21 Aug
Ebola bado ni Tishio
9 years ago
BBCSwahili22 Dec
Uharamia bado tishio Somalia
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Dk. Rashid: Kisukari bado tishio
![Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Seif-Rashid.jpg)
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI inakusudia kuongeza bajeti ya fedha za kununua dawa za kutibu kisukari kwa kuwa ugonjwa huo umeshakuwa tishio hapa nchini.
Akizungumza Dar es Salaam jana katika Mkutano wa Pili wa Pan African Diabetic Foot Study Group, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, alisema fedha hizo zitanunua dawa zitakazotolewa bure kwa wagonjwa wa kisukari.
Alisema licha ya dawa za ugonjwa huo kuwa za gharama...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Ukoma nchini bado tishio
TANZANIA imetajwa kuwa ni miongoni mwa nchi 17 duniani ambazo zipo katika viwango vya juu vya wagonjwa wa ukoma. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, alitoa...
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
10 years ago
BBCSwahili11 Dec