DIT YAFANYA SEMINA ELEKEZI YA UFAHAMU WA MASWALA YA USALAMA MTANDAO

Swala la kukuza uelewa wa matumizi mtandao salama maarufu kama “Cybersecurity Awareness programs” imekua iki himizwa sana kwani uhalifu mtandao unaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa sana pale watumiaji watakapo pata ufahamu wa kina wa matumizi salama wa mitandao.
Swala hili limekua liki imizwa sana na mataifa mbali mbali ili kuhakiki matumizi salama ya mitandao yanakuwepo na hatimae kupunguza wimbi kubwa la uhalifu mtandao unao endelea kukua hivi sasa. Katika kuonyesha umuhimu wa swala hili...
Habari Zinazoendana
10 years ago
YkileoKONGAMANO LA MASWALA YA TEHAMA AFRIKA LA TAZAMIA MASWALA YA USALAMA MITANDAO
Naibu Waziri wa Mawasiliano...
11 years ago
BBCSwahili22 Oct
maswala ya usalama mitandao
10 years ago
Michuzi19 Jan
UFAHAMU MTANDAO WA MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA WATOTO WADOGO TANZANIA (TECDEN)

Mtandao huu ulianzishwa mwaka 2000 na kusajiliwa rasmi mwaka 2004. Makao makuu ya Mtandao huu yapo Jijini Dar es salaam.
Hadi kufikia mwaka 2014 Mtandao huu una jumla ya mashirika wanachama wasiopungua 200 katika mikoa 14 ya Tanzania bara na Visiwani yanayotoa huduma kwa...
10 years ago
Michuzi12 Nov
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wanufaika na semina ya maswala ya udhibiti wa kipato
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
9 years ago
Habarileo04 Jan
DC aagiza semina elekezi kwa wenyeviti
MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga, Methew Sedoyeka amewaagiza wakurugenzi watendaji wa Halmashauri ya Manispaa na Wilaya hiyo kuandaa semina elekezi kwa wenye viti wa serikali za vijiji, vitongoji na mitaa ili waweze kutambua majukumu yao na kuyatekeleza kwa ufanisi.
10 years ago
GPL
UFAHAMU MTANDAO WA MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA WATOTO WADOGO TANZANIA (TECDEN)
10 years ago
GPL
WAFANYAKA WA VODACOM TANZANIA WANUFAIKA NA SEMINA YA MASWALA YA UDHIBITI WA KIPATO
11 years ago
Michuzi
BENKI YA NMB YAFANYA MKUTANO ELEKEZI KWA WADAU WAKE JIJINI MWANZA


Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10