TANESCO Kuimarisha Hali ya Upatikanaji wa Umeme Mkoani Kagera
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZPbDkvjuEPI/Xlnsv4yimgI/AAAAAAALf_8/F4WFOEcFVYwpuN2IsL-AiGQRACDKYtOiwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp-Image-2020-02-28-at-14.05.14-660x365.jpeg)
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuharakisha utekelezaji na usimamizi wa Miradi ya Umeme inayotarajiwa kuimarisha upatikanaji wa Nishati ya Umeme wa uhakika na unaotabirika Mkoani Kagera.
Dkt KALEMANI ametoa kauli hiyo Mkoani Kagera Wakati wa Ziara yake, ambapo amesema Umeme huo Utaunganisha Mkoa huo moja kwa moja na Umeme wa Gridi ya Taifa.“Katika kuunganisha Mkoa wa Kagera na Gridi ya Taifa, tayari tunajenga laini kubwa ya kusafirisha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Tanesco: Kuna tatizo la upatikanaji umeme wa Luku
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ut212zsGPIY/Vkxb939B74I/AAAAAAADCj8/KmWu8zGcyRo/s72-c/badramasoudwazopower2013%25281%2529.jpg)
TANESCO YAAGIZWA KUIMARISHA KIKOSI CHA UKAGUZI WA WATUMIAJI WA UMEME
![](http://4.bp.blogspot.com/-ut212zsGPIY/Vkxb939B74I/AAAAAAADCj8/KmWu8zGcyRo/s400/badramasoudwazopower2013%25281%2529.jpg)
Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud alipokuwa akizungumzia ukaguzi wa wezi wa umeme nchini.
“Umeme unaotumika kwa sasa unazalishwa kwa kiasi kikubwa na gesi asilia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ClPUM9mELbA/XusHyOk0r9I/AAAAAAALuXM/Nky1zxGnGVACofjQ36m_80xOPficuuvDwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-18%2Bat%2B8.34.48%2BAM.jpeg)
BILIONI 51 KUWASHA UMEME VIJIJI 141 MKOANI KAGERA KUFIKIA JUNI 30.
Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na kwa kushirikiana na Wakala wa Umeme Vijijini (REA), ipo mbioni kuhakikisha Vijiji vyote 141 Mkoani Kagera vinapata huduma ya Nishati ya Umeme ndani ya siku chache kuanzia sasa hii ni kutokana na Mradi huu wa usambazaji Umeme Vijijini Mkoani Kagera kuendelea Vizuri.
Akizungumza muda mfupi baada ya kutembelea Kijiji cha Kyamalange kilichopo Tarafa Bugabo, na kujionea jinsi mradi huo unavyoendelea Mhandisi Jones F. Olotu...
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
REA: Upatikanaji wa umeme kuongezeka
Na Mwandishi Wetu
KIWANGO cha upatikanaji wa nishati ya umeme kinatarajiwa kupanda hadi asilimia 100 ifikapo mwaka 2030, umesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Meneja Utaalamu Elekezi wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, alisema hayo alipomwakilisha Mkurugenzi wa REA katika ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa wataalamu na wajasiriamali wa usambazaji vifaa vya umeme (nishati) itokanayo na mionzi ya jua.
Katika mafunzo hayo yanayomalizika leo katika Hoteli ya Kebis jijini Dar es Salaam,...
10 years ago
Habarileo15 Sep
Upatikanaji umeme vijijini wapaa kwa asilimia 18
UPATIKANAJI wa huduma za nishati ya umeme vijijini umeongezeka kutoka asilimia 2.5 mwaka 2007 hadi kufika asilimia 21, hivi sasa ikiwa ni juhudi za baada ya kuundwa kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Washinda shilingi mil. 166 upatikanaji umeme vijijini
WATANZANIA wanne wamejishindia sh milioni 166 kila mmoja katika shindano la ‘Power Africa Off –Grid Energy’ lililolenga washiriki kuonesha ubunifu wa kutoa nishati endelevu kwa wakazi wa pembezoni mwa miji...
10 years ago
Uhuru Newspaper17 Sep
Kagera yazindua kampeni ya kuimarisha Chama
NA ANGELA SEBASTIAN, BUKOBA.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa, kimezindua rasmi kampeni ya kuimarisha Chama ili kujiweka sawa na kujihakikishia ushindi wa kishindo katika uchaguzi ujao.
Uzinduzi wa kampeni hizo uliofanyika jana, katika kata za Ruhunga na Kyaitoke wilayani Bukoba vijijini, ulikwenda sambamba na ugawaji wa vifaa kama bendera, milingoti na kamba ikiwa ni hatua mojawapo ya kufufua kazi za mabalozi.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-okFeQL6KYvw/VCCB7-TLexI/AAAAAAAGlIw/tTP4yqvJMtc/s72-c/4.jpg)
Mradi wa TEDAP kutatua changamoto za upatikanaji wa umeme Jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-okFeQL6KYvw/VCCB7-TLexI/AAAAAAAGlIw/tTP4yqvJMtc/s1600/4.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-p7fuzFa92CA/VCCB-GeA7NI/AAAAAAAGlI4/YmXqCGK0n-o/s1600/5.jpg)