Usafirishaji wa reli waikwaza TPA
KUSHUKA kwa kiwango cha uondoshaji mizigo bandarini kwa njia ya reli kutoka asilimia 10 mwaka 2008 hadi kufikia asilimia moja hivi sasa, kumeathiri uwezo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweza kushindana kikamilifu na bandari za jirani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania25 Jun
Serikali iisaidie TPA kuhusu Reli
MIONGONI mwa taasisi nyeti hapa nchini ni Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) ambayo kupitia shughuli zake, serikali hukusanya walau asilimia 40 ya mapato yake ya ndani kwa mwaka.
Hiki ni kiasi kikubwa cha mapato na kwa sababu hii kuna kila ulazima wa serikali kuhakikisha TPA inapata kila aina ya ushirikiano ili iweze kupata mapato zaidi na hivyo kutunisha mfuko wa serikali.
Kuna njia nyingi ambazo serikali inaweza kuzitumia kuboresha bandari. Mojawapo, na ya muhimu kuliko zote...
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
Wakulima Dodoma, wasifu Ufanisi wa TPA katika kuwezesha Usafirishaji wa Mazao na Uagizaji wa Pembejeo za Kilimo
Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akipata maelezo katika Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma kutoka kwa Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia). Katikati ni Afisa Mkuu wa TPA, Bi. Lydia Mallya.
Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (wapili kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp21IcrocZyt1r56q6qS5gFW4Z8z3AhKUN9biGlqlCrG-0K8R8wWvYq7AXQ01MgZk-5qdJr8d*YdcEm4*EODHdGLX/wakulimaDOM4.jpg)
WAKULIMA DODOMA, WASIFU UFANISI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) KATIKA KUWEZESHA USAFIRISHAJI WA MAZAO NA UAGIZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO.
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Utitiri wa kodi waikwaza TCCIA
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Reli yawatunuku askari reli watunukiwa
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
NBS na mageuzi ya usafirishaji
UNAPOZUNGUMZIA kampuni kongwe za usafirishaji abiria na mizigo ndani ya nje ya Mkoa wa Tabora, huwezi kuacha kuitaja kampuni ya NBS Classic Co. Ltd ‘The Pride of Tabora’. Kampuni hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Bandari kurahisisha usafirishaji
MAMLAKA ya Bandari nchini kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo, imeandaa utaratibu wa kuanzisha teknolojia mpya ya kimataifa itakayotumika kurahisisha shughuli za usafirishaji katika bandari ya Dar es Salaam. Akizungumza...
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Mtandao usafirishaji binadamu haukamatiki?
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Kinara usafirishaji wahamiaji atoweka
IDARA ya Uhamiaji mkoani Kilimanjaro, inamsaka kwa udi na uvumba mfanyabiashara mmoja maarufu katika miji ya Moshi na Arusha kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu wanaotoka katika...