Serikali iisaidie TPA kuhusu Reli
MIONGONI mwa taasisi nyeti hapa nchini ni Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) ambayo kupitia shughuli zake, serikali hukusanya walau asilimia 40 ya mapato yake ya ndani kwa mwaka.
Hiki ni kiasi kikubwa cha mapato na kwa sababu hii kuna kila ulazima wa serikali kuhakikisha TPA inapata kila aina ya ushirikiano ili iweze kupata mapato zaidi na hivyo kutunisha mfuko wa serikali.
Kuna njia nyingi ambazo serikali inaweza kuzitumia kuboresha bandari. Mojawapo, na ya muhimu kuliko zote...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Jun
Usafirishaji wa reli waikwaza TPA
KUSHUKA kwa kiwango cha uondoshaji mizigo bandarini kwa njia ya reli kutoka asilimia 10 mwaka 2008 hadi kufikia asilimia moja hivi sasa, kumeathiri uwezo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweza kushindana kikamilifu na bandari za jirani.
10 years ago
GPLSITTA ACHUKUA HATUA KUHUSU MABEHEWA MABOVU YA SHIRIKA LA RELI
11 years ago
Mwananchi26 May
Serikali yatangaza mageuzi usafiri wa reli
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Serikali yatenga trilioni 14/- ujenzi wa reli ya kisasa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SERIKALI imetenga Sh trilioni 14 kwa ajili ya kujenga reli mpya yenye urefu wa kilometa 2,561 ambayo itakuwa na kiwango cha kisasa cha ‘Standard Gauge’, ambao utakuwa mradi mkubwa kutekelezwa na Serikali.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, alisema reli hiyo mpya itakuwa tofauti na nyingine na yenye uwezo wa kimataifa kutokana na kuchukua mabehewa ya ghorofa, ambapo itaanzia Dar es Salaam hadi...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_0001.jpg)
SERIKALI YA UJERUMANI KUTUMIA EURO MILIONI 10 KUKARABATI RELI YA KATI
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Reli yawatunuku askari reli watunukiwa
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AKISHINDA URAIS AAHIDI SERIKALI KUJENGA RELI KUTOKA MTWARA HADI MBAMBA BAY RUVUMA, KUPUNGUZA BEI YA VIFAA VYA UJENZI
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
Dk Magufuli akishinda Urais aahidi Serikali kujenga reli kutoka Mtwara hadii Mbamba Bay Ruvuma, kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli wilayani Masasi jana. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara jana.
Mfuasi wa CCM akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.
Wananchi...