Serikali yatenga trilioni 14/- ujenzi wa reli ya kisasa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SERIKALI imetenga Sh trilioni 14 kwa ajili ya kujenga reli mpya yenye urefu wa kilometa 2,561 ambayo itakuwa na kiwango cha kisasa cha ‘Standard Gauge’, ambao utakuwa mradi mkubwa kutekelezwa na Serikali.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, alisema reli hiyo mpya itakuwa tofauti na nyingine na yenye uwezo wa kimataifa kutokana na kuchukua mabehewa ya ghorofa, ambapo itaanzia Dar es Salaam hadi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziBREAKING NEWSSSS: BENKI YA STANDARD CHATERED YAIKOPESHA TANZANIA SH. TRILIONI 3.3 KUJENGA RELI YA KISASA-SGR
Waziri wa Fedha na Mipango,Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani, wakitia saini makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3, zilizotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida, hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam 13 Februari, 2020.
Waziri wa Fedha na...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR)
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na kusema kuwa mradi huo umesaidia kupungua tatizo la ajira kwa kuajiri wafanyakazi 18,700.
“Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu, kumesaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa kutoa ajira 7,400 kwa kipande cha Dar hadi Morogoro. Kipande cha Morogoro hadi Singida kimetoa ajira 6,300 wakati mradi wa umeme...
5 years ago
MichuziKAMATI YA MIUNDOMBINU YARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA RELI YA KISASA YASISITIZA VIWANGO VYA UBORA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso, akijaribu ubora wa mataruma yanayotengenezwa katika Kiwanda cha Mataruma Kilosa, wakati kamati hiyo ilipokagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR,Mkoani Morogoro.Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa Meneja Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa...
5 years ago
MichuziMAKATIBU WAKUU NA MANAIBU WA WIZARA MBALIMBALI WASHANGAZWA KASI YA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR)
Na Avila Kakingo-Michuzi Blog
MAKATIBU wakuu na Manaibu wa Wizara mbalimbali katika serikali ya awamu ya Tano ya Dkt. John Pombe Magufuli wameshangazwa na maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa reli ya kisasa ya Umeme (SGR).
Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome wakati wa ziara ya kutembelea ujenzi wa Mradi wa reli ya Kisasa kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma, amesema kuwa kwakuwa mradi huu unazungumzwa katika vikao vyao ndio mana leo...
10 years ago
MichuziSerikali yatenga hekta 1,363 kwaaajili ya ujenzi wa viwanda Tanga
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maeneo ya EPZ pamoja na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) imeweka matayarisho na utaratibu wa kuvutia wawekezaji eneo la Tanga.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene alipokuwa akijibu swali la msingi la Mhe. Omari Nundu, Mbunge wa Tanga Mjini.
“tayari Mamlaka ya EPZ imetenga hekta 1,363 katika eneo la Neema mkoani Tanga kwaajili ya ujenzi wa viwanda na uthamini wa mali umekamilika” alisema Mhe....
11 years ago
Michuzi28 Mar
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Serikali yatenga hekta 1,363 kwa aajili ya ujenzi wa viwanda Tanga
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Sh1.5/- trilioni zahitajika ukarabati wa reli ya kati
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
Dk Magufuli akishinda Urais aahidi Serikali kujenga reli kutoka Mtwara hadii Mbamba Bay Ruvuma, kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli wilayani Masasi jana. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara jana.
Mfuasi wa CCM akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.
Wananchi...