Serikali yatenga hekta 1,363 kwaaajili ya ujenzi wa viwanda Tanga
Na. Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maeneo ya EPZ pamoja na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) imeweka matayarisho na utaratibu wa kuvutia wawekezaji eneo la Tanga.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene alipokuwa akijibu swali la msingi la Mhe. Omari Nundu, Mbunge wa Tanga Mjini.
“tayari Mamlaka ya EPZ imetenga hekta 1,363 katika eneo la Neema mkoani Tanga kwaajili ya ujenzi wa viwanda na uthamini wa mali umekamilika” alisema Mhe....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Serikali yatenga hekta 1,363 kwa aajili ya ujenzi wa viwanda Tanga
![370](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/370.jpg)
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Serikali yatenga trilioni 14/- ujenzi wa reli ya kisasa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SERIKALI imetenga Sh trilioni 14 kwa ajili ya kujenga reli mpya yenye urefu wa kilometa 2,561 ambayo itakuwa na kiwango cha kisasa cha ‘Standard Gauge’, ambao utakuwa mradi mkubwa kutekelezwa na Serikali.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, alisema reli hiyo mpya itakuwa tofauti na nyingine na yenye uwezo wa kimataifa kutokana na kuchukua mabehewa ya ghorofa, ambapo itaanzia Dar es Salaam hadi...
11 years ago
Michuzi28 Mar
9 years ago
MichuziSERIKALI YAHIMIZA UJENZI WA VIWANDA VIDOGO VIDOGO NCHINI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Seleman Jaffo alitoa kauli hiyo tarehe 22 Decemba, 2015 wakati alipotembelea taasisi zilizo chini ya Wizara yake ambazo LAPF, na Bodi ya Mikopo ya...
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Serikali yapewa hekta 360 za ardhi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-vTz-F4DwlYU/Xp6DjK_HDVI/AAAAAAALnpw/V6vELiYQkOImsmA-hf2PVbGNkuojhaYFgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO
![](https://1.bp.blogspot.com/-vTz-F4DwlYU/Xp6DjK_HDVI/AAAAAAALnpw/V6vELiYQkOImsmA-hf2PVbGNkuojhaYFgCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-FbC164QI4Do/Xp6DizYcBGI/AAAAAAALnps/6ImHPyXN7SENZIV-B_Hx1AVXEEg8JEwyACLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
10 years ago
StarTV26 Feb
Serikali yatenga Sh. Bil. 30 kuwalipa wakulima.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
Serikali imetenga shilingi bilioni 30 kwa ajili ya kuwalipa wakulima waliouza mazao yao kwa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula NFRA kwenye mikoa mbalimbali nchini.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema fedha hizo zitalipwa kwa Wakulima katika awamu mbili za shilingi bilioni 15 ili kumaliza malalamiko yanayotokana na kuchelewa kwa malipo hayo.
Hayo yalibainishwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda, katika siku ya kwanza ya ziara ya wiki moja mkoani Mbeya...
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Serikali yatenga mil. 500/- nyumba za walimu
SERIKALI imetenga sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete alitoa kauli hiyo juzi kwa wananchi wa Tanga wakati...
11 years ago
Habarileo02 Jan
Serikali yatenga fungu nono kulipa madeni ya walimu
FUNGU nono limetengwa kwa ajili ya walimu wanaodai malimbikizo ya mishahara na masurufu.