Serikali yatenga mil. 500/- nyumba za walimu
SERIKALI imetenga sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete alitoa kauli hiyo juzi kwa wananchi wa Tanga wakati...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo30 Mar
Mil.500/- kujenga nyumba za walimu
SERIKALI imetenga Sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete aliwaambia wananchi wa Tanga, juzi wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume.
11 years ago
Michuzi28 Mar
11 years ago
Habarileo02 Jan
Serikali yatenga fungu nono kulipa madeni ya walimu
FUNGU nono limetengwa kwa ajili ya walimu wanaodai malimbikizo ya mishahara na masurufu.
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
Walimu Singida waidai serikali mil 314/-
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha mkoa cha kupangia shule wanafunzi waliofaulu mtihani wa taifa wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu,ili kuanza kidato cha kwanza mwakani.Kikao hicho kilifanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kanisa Katoliki mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
WALIMU mkoani Singida wanaidai serikali zaidi ya sh milioni 314 yakiwa ni malimbikizo ya madeni yao mbalimbali ya siku za nyuma kwa vipindi tofauti hadi kufikia Desemba mwaka huu.
Ofisa...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Masasi yatenga mil. 7/- za vifaa tiba
HALMASHAURI ya Wilaya ya Masasi imetenga sh milioni 9.07 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba vya kitengo cha mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo. Akijibu swali...
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Chamwino yatenga mil. 20/- kuondoa wavamizi
SERIKALI ya Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma imetenga sh milioni 20 kwa ajili ya kufyeka mazao shambani na kubomoa nyumba za watu wanaodaiwa kuvamia hifadhi za taifa. Akizungumza na waandishi...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
SUMATRA yatenga mil. 50/- kuisaidia jamii
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), ndani ya mwaka huu imetenga sh milioni 50 kusaidia mahitaji mbalimbali ya kijamii. Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo, Ahmed...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Viapo kutafuna mil. 500/-
BUNGE Maalumu la Katiba litatumia zaidi ya sh milioni 500 kwa siku tatu kama posho za wajumbe ambao kwa siku hizo watakuwa wakifanya shughuli ya kuapa mmoja mmoja. Fedha hizo...
10 years ago
StarTV26 Feb
Serikali yatenga Sh. Bil. 30 kuwalipa wakulima.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
Serikali imetenga shilingi bilioni 30 kwa ajili ya kuwalipa wakulima waliouza mazao yao kwa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula NFRA kwenye mikoa mbalimbali nchini.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema fedha hizo zitalipwa kwa Wakulima katika awamu mbili za shilingi bilioni 15 ili kumaliza malalamiko yanayotokana na kuchelewa kwa malipo hayo.
Hayo yalibainishwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda, katika siku ya kwanza ya ziara ya wiki moja mkoani Mbeya...