Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chamwino yatenga mil. 20/- kuondoa wavamizi

SERIKALI ya Wilaya ya Chamwino,  mkoani Dodoma imetenga sh milioni 20 kwa ajili ya kufyeka mazao shambani na kubomoa nyumba za watu wanaodaiwa kuvamia hifadhi za taifa. Akizungumza na waandishi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Atakayetoa taarifa wavamizi kituo cha polisi kuzia mil. 50/-

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP ), Ernest Mangu.
Wakati bado hakuna mtuhumiwa aliyekamatwa kufuatia tukio la kuvamiwa kwa Kituo cha Polisi cha Stakishari, jijini Dar es Salaam, imefahamika kuwa bunduki zilizoibwa ni 20, huku Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP ), Ernest Mangu (pichani), akitangaza bingo ya Sh. milioni 50 kwa mtu atayekatoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa majambazi waliofanya tukio hilo.

Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi walikivamia kituo hicho usiku wa kuamkia Julai...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Masasi yatenga mil. 7/- za vifaa tiba

HALMASHAURI ya Wilaya ya Masasi imetenga sh milioni 9.07 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba vya kitengo cha mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo. Akijibu swali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SUMATRA yatenga mil. 50/- kuisaidia jamii

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), ndani ya mwaka huu imetenga sh milioni 50 kusaidia mahitaji mbalimbali ya kijamii. Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo, Ahmed...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yatenga mil. 500/- nyumba za walimu

SERIKALI imetenga sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete alitoa kauli hiyo juzi kwa wananchi wa Tanga wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI WILAYANI CHAMWINO -DODOMA, ATEMBELEA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MW. NYERERE KATIKA KIJIJI CHA CHAMWINO IKULU

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofika kwenye viwanja vya Ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Chamwino Ikulu, wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma Juni 22.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Picha zote na John Badi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wavamizi ondokeni’

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka wananchi walioingia kinyume cha sheria kwenye Hifadhi ya Taifa Tarangire na Pori la Akiba la Mkungunero, mkoani Manyara, na Dodoma kuondoka mara moja maeneo hayo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji wavamizi waonywa

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera, Nassibu Mmbaya, ametoa onyo kwa wafugaji wanaovamia misitu wilayani hapa na kutaka waache mara moja tabia hiyo. Mmbaya alitoa onyo hilo...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Wavamizi Stakishari mbaroni

WATU wawili wanaodaiwa kuhusika katika uvamizi na mauaji ya wiki iliyopita kwenye Kituo cha Polisi Stakishari jijini Dar es Salaam, wametiwa mbaroni.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, mbali na watu hao wanaoendelea kushikiliwa na polisi, watuhumiwa wengine watatu wa tukio hilo waliuawa. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Kova alisema Ijumaa iliyopita, polisi walipata taarifa za kuaminika kwamba majambazi waliohusika Stakishari wapo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wavamizi watakiwa kuondoka Kiteto

Serikali wilayani, Kiteto, imewataka wananchi waliovamia ardhi ya wilaya hiyo, kuondoka mara moja ili kupunguza migogoro kati ya wakulima na wafugaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani