‘Wavamizi ondokeni’
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka wananchi walioingia kinyume cha sheria kwenye Hifadhi ya Taifa Tarangire na Pori la Akiba la Mkungunero, mkoani Manyara, na Dodoma kuondoka mara moja maeneo hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Vijana ondokeni vijiweni, kilimo ni utajiri tosha
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Wavamizi Stakishari mbaroni
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Wafugaji wavamizi waonywa
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera, Nassibu Mmbaya, ametoa onyo kwa wafugaji wanaovamia misitu wilayani hapa na kutaka waache mara moja tabia hiyo. Mmbaya alitoa onyo hilo...
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Wavamizi watakiwa kuondoka Kiteto
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Wakulima wavamizi waondolewe — Laizer
MBUNGE wa Longido, Lekule Laizer ameitaka serikali kutoa tamko la kuwaondoa wakulima wote waliovamia maeneo ya wafugaji. Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Laizer alisema yapo maeneo ya wafugaji yaliyotengwa...
11 years ago
Habarileo29 May
Wavamizi waua wawili vyuo vikuu
MATUKIO matatu ya uvamizi katika makazi ya wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya mwaka jana na mwaka juzi, yamesababisha vifo vya wanafunzi wawili nchini. Aidha, katika matukio hayo, mali mbalimbali kama vile simu, kompyuta mpakato na nguo, viliibwa.
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Chamwino yatenga mil. 20/- kuondoa wavamizi
SERIKALI ya Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma imetenga sh milioni 20 kwa ajili ya kufyeka mazao shambani na kubomoa nyumba za watu wanaodaiwa kuvamia hifadhi za taifa. Akizungumza na waandishi...
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Waziri Nyalandu aagiza wavamizi kuondoka
9 years ago
BBCSwahili15 Nov
Gari la pili la wavamizi lapatikana Paris