Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji wavamizi waonywa

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera, Nassibu Mmbaya, ametoa onyo kwa wafugaji wanaovamia misitu wilayani hapa na kutaka waache mara moja tabia hiyo. Mmbaya alitoa onyo hilo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Wavamizi ondokeni’

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka wananchi walioingia kinyume cha sheria kwenye Hifadhi ya Taifa Tarangire na Pori la Akiba la Mkungunero, mkoani Manyara, na Dodoma kuondoka mara moja maeneo hayo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Wavamizi Stakishari mbaroni

WATU wawili wanaodaiwa kuhusika katika uvamizi na mauaji ya wiki iliyopita kwenye Kituo cha Polisi Stakishari jijini Dar es Salaam, wametiwa mbaroni.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, mbali na watu hao wanaoendelea kushikiliwa na polisi, watuhumiwa wengine watatu wa tukio hilo waliuawa. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Kova alisema Ijumaa iliyopita, polisi walipata taarifa za kuaminika kwamba majambazi waliohusika Stakishari wapo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima wavamizi waondolewe — Laizer

MBUNGE wa Longido, Lekule Laizer ameitaka serikali kutoa tamko la kuwaondoa wakulima wote waliovamia maeneo ya wafugaji. Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Laizer alisema  yapo maeneo ya wafugaji yaliyotengwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wavamizi watakiwa kuondoka Kiteto

Serikali wilayani, Kiteto, imewataka wananchi waliovamia ardhi ya wilaya hiyo, kuondoka mara moja ili kupunguza migogoro kati ya wakulima na wafugaji.

 

11 years ago

Habarileo

Wavamizi waua wawili vyuo vikuu

MATUKIO matatu ya uvamizi katika makazi ya wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya mwaka jana na mwaka juzi, yamesababisha vifo vya wanafunzi wawili nchini. Aidha, katika matukio hayo, mali mbalimbali kama vile simu, kompyuta mpakato na nguo, viliibwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Nyalandu aagiza wavamizi kuondoka

Serikali imesema haitaogopa wala kumvumilia mtu atakayevamia maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba kwa lengo la kuhujumu maliasili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chamwino yatenga mil. 20/- kuondoa wavamizi

SERIKALI ya Wilaya ya Chamwino,  mkoani Dodoma imetenga sh milioni 20 kwa ajili ya kufyeka mazao shambani na kubomoa nyumba za watu wanaodaiwa kuvamia hifadhi za taifa. Akizungumza na waandishi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Gari la pili la wavamizi lapatikana Paris

Polisi wa Ufaransa wamelipata gari la pili linalofikiriwa lilitumika katika mashambulio ya Ijumaa usiku mjini Paris.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani