Serikali yatenga Sh. Bil. 30 kuwalipa wakulima.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
Serikali imetenga shilingi bilioni 30 kwa ajili ya kuwalipa wakulima waliouza mazao yao kwa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula NFRA kwenye mikoa mbalimbali nchini.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema fedha hizo zitalipwa kwa Wakulima katika awamu mbili za shilingi bilioni 15 ili kumaliza malalamiko yanayotokana na kuchelewa kwa malipo hayo.
Hayo yalibainishwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda, katika siku ya kwanza ya ziara ya wiki moja mkoani Mbeya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV14 Aug
TALGWU waitaka serikali kuwalipa stahiki zao shilingi bil.18
Baadhi ya viongozi wa chama cha wafanyakazi Serikali za Mitaa TALGWU Mkoani Mwanza wameitaka serika kuwalipa stahiki zao haraka kiasi cha shilingi billion 18 ikiwa ni moja ya malimbikizo ya stahiki zao.ahadi ya serikali
Wamesema kuwa licha ya Rais wa jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwetwe kutoa tamko la kulipa malimbikizo ya madeni kuwalipa kabla ya juni 30 mwaka huu lakini mpaka sasa hayajafanyiwa kazi jambo ambalo wamesema linawaweka katika mgumu.
Madai hayo yametolewa...
10 years ago
Habarileo07 Nov
Wakulima Kanda ya Kati waidai Serikali bil.10
VIKUNDI vya wakulima katika mikoa ya Kanda ya Kati vinaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 10 baada ya kuuza mazao yao kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA).
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Singida yatenga bajeti bil. 31/-
HALMASHAURI ya Manispaa ya Singida, inatarajia kutumia sh bilioni 31.7 katika bajeti yake ya mwaka wa fedha wa 2014/2015. Kaimu Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Deus Luziga, alibainsha hayo alipokuwa akitoa...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Bil. 1/- yatengwa kuwalipa wazee wa mahakama
KATIKA mwaka wa fedha 2014/15 Wizara ya Katiba na Sheria imetenga sh bilioni 1.5 kwa ajili ya malipo ya wazee wa mahakama. Ahadi hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri...
10 years ago
Mwananchi03 Feb
NFRA yaanza kuwalipa wakulima Songea
9 years ago
Mwananchi20 Oct
Serikali kuwalipa wafanyakazi wa MPM
10 years ago
Habarileo08 Jun
Serikali yaahidi kuwalipa makandarasi
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya amesema Serikali italipa madeni ya makandarasi na watumishi ambayo yamehakikiwa na pia itapeleka TAMISEMI orodha ya halmashauri ambazo zimetoa madeni hewa ili yalipwe.
11 years ago
Mwananchi25 Dec
CWT yaiomba Serikali kuwalipa madeni yao
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Wakulima Ruvuma walipwa bil. 6/-
SERIKALI kupitia Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kituo cha Songea, mkoani Ruvuma imewalipa wakulima sh bilioni 6.6 walizokuwa wakidai baada ya kuuza mahindi yao. Mkuu wa Mkoa...