TALGWU waitaka serikali kuwalipa stahiki zao shilingi bil.18
Baadhi ya viongozi wa chama cha wafanyakazi Serikali za Mitaa TALGWU Mkoani Mwanza wameitaka serika kuwalipa stahiki zao haraka kiasi cha shilingi billion 18 ikiwa ni moja ya malimbikizo ya stahiki zao.ahadi ya serikali
Wamesema kuwa licha ya Rais wa jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwetwe kutoa tamko la kulipa malimbikizo ya madeni kuwalipa kabla ya juni 30 mwaka huu lakini mpaka sasa hayajafanyiwa kazi jambo ambalo wamesema linawaweka katika mgumu.
Madai hayo yametolewa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV26 Feb
Serikali yatenga Sh. Bil. 30 kuwalipa wakulima.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
Serikali imetenga shilingi bilioni 30 kwa ajili ya kuwalipa wakulima waliouza mazao yao kwa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula NFRA kwenye mikoa mbalimbali nchini.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema fedha hizo zitalipwa kwa Wakulima katika awamu mbili za shilingi bilioni 15 ili kumaliza malalamiko yanayotokana na kuchelewa kwa malipo hayo.
Hayo yalibainishwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda, katika siku ya kwanza ya ziara ya wiki moja mkoani Mbeya...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Bil. 1/- yatengwa kuwalipa wazee wa mahakama
KATIKA mwaka wa fedha 2014/15 Wizara ya Katiba na Sheria imetenga sh bilioni 1.5 kwa ajili ya malipo ya wazee wa mahakama. Ahadi hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri...
10 years ago
Mwananchi06 Dec
TALGWU: Serikali isipolipa deni tutagomea Uchaguzi Mkuu
10 years ago
Dewji Blog15 Mar
TALGWU yawataka watendaji Serikali za Mitaa Singida kuisoma Katiba pendekezwa
Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa (TALGWU) nchini, Seleman Kikango, akifungua kikao cha uchaguzi kilichofanyika mjini hapa.Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa tawi la TALGWU makao makuu, Julius Manning na kushoto ni Mweka hazina wa TALGWU Taifa, Siston Mizengo.
Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa (TALGWU) (wa kwanza kushoto), Seleman Kikango, akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kwenye mkutano wa uchaguzi wa chama hicho uliofanyika mjini hapa. Wa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hNecO4POOik/VnE8PLMfgFI/AAAAAAAIMtA/J7nPGSrE_-w/s72-c/Untitledc1.png)
Serikali kuanza kutumia Nguzo za Zege Utoaji Tenda uzingatie sifa stahiki: Chambo
Hayo yalielezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omar Chambo alipokutana na Ujumbe kutoka Ujerumani Ofisini kwake hivi karibuni jijini Dar...
10 years ago
Habarileo08 Jun
Serikali yaahidi kuwalipa makandarasi
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya amesema Serikali italipa madeni ya makandarasi na watumishi ambayo yamehakikiwa na pia itapeleka TAMISEMI orodha ya halmashauri ambazo zimetoa madeni hewa ili yalipwe.
9 years ago
Mwananchi20 Oct
Serikali kuwalipa wafanyakazi wa MPM
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Chadema waitaka Serikali isiingilie kampeni
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
TANROADS Singida yatumia Shilingi bil 1.2 /- kutengeneza barabara
Kaimu meneja TANROADS mkoa wa Singida, Eng.Leonard Kapongo,akitoa ufafanuzi juu ya matengenezo ya barabara za ngazi ya mkoa,kwenye kikao cha 37 cha bodi ya barabara kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Social Training Centre mjini Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKALA wa barabara TANROADS Mkoa wa Sigida imetumia zaidi ya shilingi 1.2 bilioni kugharamia matengenezo ya kawaida kwa barabara kuu yenye urefu wa kilometa 589.2 kati ya Aprili na Juni mwaka huu.
Hayo yamesemwa na...