Serikali kuwalipa wafanyakazi wa MPM
Baada ya vuta nikuvute ya miaka 10 kati ya Serikali na waliokuwa wafanyakazi wa Mufindi Paper Mills (MPM), kuhusu malipo ya fidia yao, hatimaye Serikali imekubali kulipa fedha hizo kiasi cha Sh3.7 bilioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili14 May
Samsung kuwalipa fidia wafanyakazi wake
10 years ago
Bongo515 Oct
Facebook na Apple kuwalipa wafanyakazi wake wa kike kugandisha mayai ya uzazi ili wafanya kazi zaidi
10 years ago
Habarileo08 Jun
Serikali yaahidi kuwalipa makandarasi
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya amesema Serikali italipa madeni ya makandarasi na watumishi ambayo yamehakikiwa na pia itapeleka TAMISEMI orodha ya halmashauri ambazo zimetoa madeni hewa ili yalipwe.
10 years ago
StarTV26 Feb
Serikali yatenga Sh. Bil. 30 kuwalipa wakulima.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
Serikali imetenga shilingi bilioni 30 kwa ajili ya kuwalipa wakulima waliouza mazao yao kwa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula NFRA kwenye mikoa mbalimbali nchini.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema fedha hizo zitalipwa kwa Wakulima katika awamu mbili za shilingi bilioni 15 ili kumaliza malalamiko yanayotokana na kuchelewa kwa malipo hayo.
Hayo yalibainishwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda, katika siku ya kwanza ya ziara ya wiki moja mkoani Mbeya...
11 years ago
Mwananchi25 Dec
CWT yaiomba Serikali kuwalipa madeni yao
9 years ago
StarTV14 Aug
TALGWU waitaka serikali kuwalipa stahiki zao shilingi bil.18
Baadhi ya viongozi wa chama cha wafanyakazi Serikali za Mitaa TALGWU Mkoani Mwanza wameitaka serika kuwalipa stahiki zao haraka kiasi cha shilingi billion 18 ikiwa ni moja ya malimbikizo ya stahiki zao.ahadi ya serikali
Wamesema kuwa licha ya Rais wa jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwetwe kutoa tamko la kulipa malimbikizo ya madeni kuwalipa kabla ya juni 30 mwaka huu lakini mpaka sasa hayajafanyiwa kazi jambo ambalo wamesema linawaweka katika mgumu.
Madai hayo yametolewa...
11 years ago
Habarileo24 Apr
Wafanyakazi wagomea utitiri wa serikali
KATIKA Katiba mpya, wafanyakazi nchini hawataki utitiri wa serikali, bali nyongeza ya mishahara ya angalau kima cha chini cha Sh 315,000 na kupunguzwa kwa makato ya kodi.
9 years ago
StarTV16 Nov
Wafanyakazi wa Serikali Shinyanga watahadharishwa
Wafanyakazi wa Serikali mkoani Shinyanga wametahadharishwa kuwa makini na utendaji wa Serikali ya awamu ya Tano kwa kuacha kufanya kazi kwa mazoea.
Mkuu wa mkoa huo Ally Nassoro Rufunga ametoa tahadhari hiyo wakati akiongea na wafanyakazi na taasisi katika mji wa Kahama mkoani Shinyanga katika ziara yake ya kikazi.
Rufunga anawataazalisha wafanyakazi wa Serikali mkoani hapa kuacha kufanya kazi kwa mazoea kwa Serikali awamu ya tano.
Anasema lengo la Serikali ya Mh Magufuli ni kuwatumikia...
5 years ago
Bongo514 Feb
‘Wafanyakazi wa Hotel ya 77 Arusha hawatudai’ – Serikali
Wizara ya Fedha na Mipango imesema kuwa waliokuwa wafanyakazi wa Hoteli ya Seventy Seven ya mkoani Arusha, walioachishwa kazi mwaka 2000, wameshalipwa mafao yao kwa mujibu wa sheria na taratibu hivyo hawastahili kudai malipo yoyote ya nyongeza.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango (MB), Dkt Ashatu Kijaji, ameyaeleza hayo bungeni mjini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Viti Maaluum (CCM) Arusha, Mhe. Catherine Magige aliyehoji,
Je?, “ni lini Serikali itawalipa mafao...