Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuanza kutumia Nguzo za Zege Utoaji Tenda uzingatie sifa stahiki: Chambo

Wizara ya Nishati na Madini kupitia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) iko mbioni kuanza kutumia Nguzo za kusambazia Umeme za Zege ili kuondokana na nguzo za miti ambazo zina changamoto kadhaa ikiwa ni pamoja na kuvunjika, kuoza kwa kuliwa na wadudu na kuanguka hivyo kusababisha usumbufu kwa wananchi kukosa huduma muhimu ya umeme.
Hayo yalielezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omar Chambo alipokutana na Ujumbe kutoka Ujerumani Ofisini kwake hivi karibuni jijini Dar...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Serikali yajipanga kutumia nguzo za zege kusambaza umeme

Wataalam wa Sekta ya Umeme kutoka Wizara ya Nishati na Madini pamoja na Shirika la Umeme nchini (Tanesco), wakiongozwa na Kamishna Msaidizi wa Umeme Mhandisi Innocent Luoga (wa kwanza kushoto), wakiwa katika mazungumzo na wawakilishi wa Kampuni ya Sunshine Group Ltd (Kulia). Mazungumzo yalifanyika hivi karibuni Makao Makuu ya Wizara, jijini Dar es Salaam na yalihusu uanzishwaji wa Kiwanda cha kutengeneza nguzo za umeme za zege kwa ajili ya kusambaza umeme nchini.Ujumbe kutoka Kampuni ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nguzo za zege kuleta neema ya umeme

UPATIKANAJI wa umeme nchini umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu hali inayorudisha nyuma maendeleo. Tatizo hilo la upatikanaji wa umeme linatokana na miundombinu duni toka uhuru wa Tanzania Bara hadi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yatangaza kuacha kugharamia vikao kazi kwa watendaji wake, kuanza kutumia mfumo wa Video Conference

DSC05670

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Florence Temba (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mawasiliano kwa njia ya video serikalini (video conferencing) katika mkutano uliofanyika Idara ya Habari (Maelezo). Wengine ni viongozi wa Ofisi ya Rais-Utumishi. Wengine ni Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Charles Senkondo (wa pili kutoka kushoto),Mkurugenzi wa TEHAMA Bw.Priscus Kiwango (kushoto) na kulia ni...

 

9 years ago

StarTV

TALGWU waitaka serikali kuwalipa stahiki zao shilingi bil.18

Baadhi ya viongozi wa chama cha wafanyakazi Serikali za Mitaa TALGWU Mkoani Mwanza wameitaka serika kuwalipa stahiki zao haraka kiasi cha shilingi billion 18 ikiwa ni moja ya malimbikizo ya stahiki zao.ahadi ya serikali

Wamesema kuwa licha ya Rais wa jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwetwe kutoa tamko la kulipa malimbikizo ya madeni kuwalipa kabla ya juni 30 mwaka huu lakini mpaka sasa hayajafanyiwa kazi jambo ambalo wamesema linawaweka katika mgumu.

Madai hayo yametolewa...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yaikemea Tanesco nguzo za nje

Shirika la Umeme nchini (Tanesco) limetakiwa kuacha kasumba ya kutumia mabilioni ya fedha kununua nguzo za umeme nje ya nchi, badala yake linunue ndani ya nchi kwa kampuni za kizalendo ambazo zinazalisha nguzo imara.

 

11 years ago

GPL

SERIKALI MBILI NDIO NGUZO YA MUUNGANO – NDEJEMBI‏

Sehemu ya vijana wa UVCCM toka bara na visiwani wakitembea kutoka bandari ya Dar es Salaam hadi makao makuu ya UVCCM katika kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar huku na mabango yenye ujumbe mbalimbali wa kuhamasisha Serikali mbili.…

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuanza kutumia mfumo wa kiforodha

 Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki amesema Tanzania itaanza jaribio la kutumia mfumo wa kiforodha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (SCT) ifikapo Mei 25 mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Muheza kuanza kutumia soko jipya

Zaidi ya wakazi 13,513 wa Kata za Genge na Majengo, Mjini Muheza wanatarajiwa kutumia soko jipya la bidhaa lililofunguliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani