Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NFRA yaanza kuwalipa wakulima Songea

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Tawi la Songea mkoani Ruvuma wamepokea Sh28 bilioni kwa ajili ya kuwalipa wakulima baada ya kuuza mazao yao msimu uliopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Serikali yatenga Sh. Bil. 30 kuwalipa wakulima.

Na Mkombe Zanda,

Mbeya.

 

Serikali imetenga shilingi bilioni 30 kwa ajili ya kuwalipa wakulima waliouza mazao yao kwa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula NFRA kwenye mikoa mbalimbali nchini.

 

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema fedha hizo zitalipwa kwa Wakulima katika awamu mbili za shilingi bilioni 15 ili kumaliza malalamiko yanayotokana na kuchelewa kwa malipo hayo.

 

Hayo yalibainishwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda, katika siku ya kwanza ya ziara ya wiki moja mkoani Mbeya...

 

5 years ago

Michuzi

WAKULIMA WILAYANI KAHAMA WAIOPONGEZA NFRA UNUNUZI WA MAZAO

WAKULIMA  wa wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga wameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kuanza kuwajali wakulima wa Mazao mbalimbali kwa kuchukua hatua ya kuwakomboa kwa kutoa maelekezo ya kulielekeza shirika la Taifa la kuhifadhi chakula (NFRA) kununua mazao myote katika  msimu huu.

Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Nyanhembe Agricultural Farm Khamis Mgeja ambayo  inayojishughulisha na shughuli za Kilimo na ufugaji alipotembelewa na jopo la waandishi wa habari kwenye...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yaanza kuwapatia misaada waathiriwa Athari za upepo songea

Serikali Wilayani Songea  katika mkoa wa Ruvuma imetoa pole kwa WANANCHI waliopatwa na Maafa baada ya Nyumba zao kuezuliwa na Upepo ulioambatana na Mvua kali uliotokea katika Wilaya hiyo hivi karibuni.

Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesya amesema Kamati ya Maafa Wilaya ya Songea imeweza kukabiliana na janga hilo kwa kuanza kutoa Msaada kwa Kaya 8 zilizokumbwa na maafa hayo.

Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesiya amesema Kamati ya Maafa Wilaya ya Songea baada ya kuona hali  mbaya ya Kaya 8...

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA SONGEA YAANZA KUSIKILIZA MASHAURI NA KUTOA HUKUMU KWA 'VIDEO CONFERENCE'.




Na Brian Haule –Mahakama Kuu Songea



Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Songea imeanza kusikiliza mashauri na kutoa hukumu kwa Mahakama Mtandao yaani ‘Video Conference’.

Mahakama hiyo imeanza kusikiliza mashauri kwa njia hiyo, baada ya jitihada za Mahakama ya Tanzania kununua vifaa maalumu vya kuendesha mahakama kwa mtandao kwa ajili ya mahakama mbalimbali nchini, ikiwa ni hatua za kuepuka kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa (COVID 19) sambamba na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kampuni D’salaam yaanza kukopesha matrekta wakulima

Kampuni ya Intertechnology Ltd ya Dar es Salaam, imeanza kuuza na kukopesha matrekta yenye gharama nafuu kwa wakulima kwa lengo la kuongeza kasi ya mapinduzi ya kijani katika sekta ya kilimo.

 

11 years ago

Mwananchi

Walalamikia CRDB kuchelewa kuwalipa

Baadhi ya vyama vya ushirika vya msingi vya kuuza mazao wilaya za Liwale na Nachingwea, mkoani Lindi, vinavyohudumiwa na Benki ya CRDB wameilalamikia kwa kitendo cha kuchelewesha kutoa fedha kuwalipa wakulima wa korosho msimu wa 2013/14.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaahidi kuwalipa makandarasi

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya amesema Serikali italipa madeni ya makandarasi na watumishi ambayo yamehakikiwa na pia itapeleka TAMISEMI orodha ya halmashauri ambazo zimetoa madeni hewa ili yalipwe.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali kuwalipa wafanyakazi wa MPM

Baada ya vuta nikuvute ya miaka 10 kati ya Serikali na waliokuwa wafanyakazi wa Mufindi Paper Mills (MPM), kuhusu malipo ya fidia yao, hatimaye Serikali imekubali kulipa fedha hizo kiasi cha Sh3.7 bilioni.

 

10 years ago

Mwananchi

NFRA kununua mahindi Gairo

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ina mpango wa kununua tani 2,500 za mahindi katika Wilaya ya Gairo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani