Wakulima Ruvuma walipwa bil. 6/-
SERIKALI kupitia Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kituo cha Songea, mkoani Ruvuma imewalipa wakulima sh bilioni 6.6 walizokuwa wakidai baada ya kuuza mahindi yao. Mkuu wa Mkoa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 Jul
JK atangazia neema wakulima Ruvuma
RAIS Jakaya Kikwete amewaondoa hofu wakulima wa mahindi mkoani Ruvuma kwa kuwahakikishia kuwa serikali itanunua mahindi yote kutoka kwao kwa kilo moja ya mahindi kwa Sh 500 badala ya Sh 450 bei iliyotumika kununua mahindi katika msimu uliopita.
10 years ago
StarTV26 Feb
Serikali yatenga Sh. Bil. 30 kuwalipa wakulima.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
Serikali imetenga shilingi bilioni 30 kwa ajili ya kuwalipa wakulima waliouza mazao yao kwa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula NFRA kwenye mikoa mbalimbali nchini.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema fedha hizo zitalipwa kwa Wakulima katika awamu mbili za shilingi bilioni 15 ili kumaliza malalamiko yanayotokana na kuchelewa kwa malipo hayo.
Hayo yalibainishwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda, katika siku ya kwanza ya ziara ya wiki moja mkoani Mbeya...
10 years ago
Habarileo07 Nov
Wakulima Kanda ya Kati waidai Serikali bil.10
VIKUNDI vya wakulima katika mikoa ya Kanda ya Kati vinaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 10 baada ya kuuza mazao yao kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA).
10 years ago
Habarileo15 Nov
Wizara kukopa bil. 70/- NMB, CRDB kulipa wakulima
ILI kulipa deni la ununuzi wa nafaka kutoka kwa wakulima, hatimaye Serikali imeruhusu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kukopa Sh bilioni 70 kutoka Benki ya CRDB na NMB ili kumaliza kero hiyo inayowakabili wakulima.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-MBRTnX6AXik/XuxjvtaWiiI/AAAAAAABMfs/VacXTFivqS8SF3Ta5xBAe4w0BF2h9UoVgCLcBGAsYHQ/s72-c/11.jpg)
NMB YATOA MKOPO WA SHILINGI BIL. 3 KWA WAKULIMA WA MUHOGO HANDENI
![](https://1.bp.blogspot.com/-MBRTnX6AXik/XuxjvtaWiiI/AAAAAAABMfs/VacXTFivqS8SF3Ta5xBAe4w0BF2h9UoVgCLcBGAsYHQ/s400/11.jpg)
Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi (wa pili kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Bilioni 3, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe maalumu kwa ajili ya vikundi vya wakulima na wasindikaji wa zao la muhogo wilayani Handeni, mkoani Tanga. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justin (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Wakulima wa zao hilo nchini, Mwantum Mahiza, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya...
10 years ago
Habarileo22 Jan
TAZARA walipwa mishahara ya miezi 4
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) waliokuwa wakidai mishahara yao ya miezi mitano, jana walilipwa sehemu ya madai hayo.
5 years ago
CCM BlogWAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI
Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Wachezaji wa Ghana walipwa fedha zao
10 years ago
Habarileo18 Aug
Marehemu, walioacha kazi walipwa mishahara
UTARATIBU mpya wa Hazina kulipa mishahara moja kwa moja kwa watumishi wa halmashauri, umefichua ‘mchezo mchafu’ wa watumishi waliofariki na watoro kulipwa mishahara.