Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK atangazia neema wakulima Ruvuma

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amewaondoa hofu wakulima wa mahindi mkoani Ruvuma kwa kuwahakikishia kuwa serikali itanunua mahindi yote kutoka kwao kwa kilo moja ya mahindi kwa Sh 500 badala ya Sh 450 bei iliyotumika kununua mahindi katika msimu uliopita.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Neema kwa wakulima wa mpunga yanukia

Rais Jakaya Kikwete ameahidi kuwatafutia soko la uhakika wakulima wa mpunga, hatua ambayo itaambatana na kuanzishwa kwa hifadhi ya zao hilo katika Ghala la Taifa la Chakula, kama ilivyo kwa mahindi.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yarudisha neema kwa wakulima Bumbuli

>Mgogoro kati ya wakulima wa chai Bumbuli na mwekezaji wa Kiwanda cha Chai Mponde, umefikia tamati baada ya Serikali kuridhia kutoa fedha kwa ajili ya kufufua kiwanda hicho ambacho kilikuwa kimefungwa kwa muda wa miaka miwili baada ya wakulima kugomea kuuza majani mabichi ya chai katika kiwanda hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Neema kwa wakulima wa korosha nchini yakaribia

Kilimo cha korosho nchini kinatarajiwa kuchukua sura mpya baada ya kutokana na kuwepo kwa mpango wa kujengwa kwa viwanda vitatu vya kubangua korosho vitakavyoongeza thamani ya zao hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima Ruvuma walipwa bil. 6/-

SERIKALI kupitia Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kituo cha Songea, mkoani Ruvuma imewalipa wakulima sh bilioni 6.6 walizokuwa wakidai baada ya kuuza mahindi yao. Mkuu wa Mkoa...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASA AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA WA ZAO LA KAHAWA KILIMANJARO

Kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi,aliyejiengua hivi karibuni ,Kingunge Ngombalemwiru akisalimia wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Urais kupitia Chadema na Vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA uliofanyika katika viwanja vya mashujaa mjini Moshi.Picha zote na Dixon Busagaga wa Busagaga's Orijino Blog.Kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi,aliyejiengua hivi karibuni ,Kingunge Ngombalemwiru akimkaribisha mgombea Urais kupitia Chadema na Vyama vinavyounda Umoja wa...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YAFUNGUA TAWI LA 225 IKIAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI

Benki ya NMB imezindua tawi jipya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu na kufikisha matawi 225 nchi nzima huku ikitangaza neema ya huduma bora na mikopo nafuu kwa wananchi wakiwemo wakulima, wafugaji na wavuvi kusaidia shughuli za kiuchumi.
Akitoa taarifa ya utendaji wa benki hiyo kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya ufunguzi wa tawi hilo mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa NMB, Ruth Zaipuna alisema ufunguzi wa tawi hilo pamoja na mengine maeneo ya vijijini ni...

 

5 years ago

Michuzi

NMB yafungua tawi la 225 ikiahidi neema kwa wakulima, wafugaji

Benki ya NMB imezindua tawi jipya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu na kufikisha matawi 225 nchi nzima huku ikitangaza neema ya huduma bora na mikopo nafuu kwa wananchi wakiwemo wakulima, wafugaji na wavuvi kusaidia shughuli za kiuchumi.
Akitoa taarifa ya utendaji wa benki hiyo kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya ufunguzi wa tawi hilo mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa NMB, Ruth Zaipuna alisema ufunguzi wa tawi hilo pamoja na mengine maeneo ya vijijini ni...

 

11 years ago

Mwananchi

RC Dar atangazia kiama watendaji

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadik ametangaza kiama kwa watendaji wa mitaa na maofisa afya watakaozembea kusimamia masuala ya usafi katika maeneo yao, hivyo kusababisha mkoa kuwa na sifa ya uchafu.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA WAKULIMA YAMWAGA MIKOPO KWA WAKULIMA

Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye, wakulima wadogo 21,000 walio katika vikundi 89 vya ushirika katika Kata ya Igomaa, mkoani Iringa keshokutwa wanatarajiwa kupatiwa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shbilioni 1 kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) nchini kwa ajili ya maendeleo ya shghuli zao za kilimo. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara wa benki hiyo, Robert Pascal alisema maandalizi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani