Serikali yarudisha neema kwa wakulima Bumbuli
>Mgogoro kati ya wakulima wa chai Bumbuli na mwekezaji wa Kiwanda cha Chai Mponde, umefikia tamati baada ya Serikali kuridhia kutoa fedha kwa ajili ya kufufua kiwanda hicho ambacho kilikuwa kimefungwa kwa muda wa miaka miwili baada ya wakulima kugomea kuuza majani mabichi ya chai katika kiwanda hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Aug
Neema kwa wakulima wa mpunga yanukia
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Neema kwa wakulima wa korosha nchini yakaribia
10 years ago
Vijimambo
LOWASA AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA WA ZAO LA KAHAWA KILIMANJARO


5 years ago
MichuziNMB yafungua tawi la 225 ikiahidi neema kwa wakulima, wafugaji
Akitoa taarifa ya utendaji wa benki hiyo kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya ufunguzi wa tawi hilo mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa NMB, Ruth Zaipuna alisema ufunguzi wa tawi hilo pamoja na mengine maeneo ya vijijini ni...
5 years ago
CCM BlogNMB YAFUNGUA TAWI LA 225 IKIAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Akitoa taarifa ya utendaji wa benki hiyo kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya ufunguzi wa tawi hilo mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa NMB, Ruth Zaipuna alisema ufunguzi wa tawi hilo pamoja na mengine maeneo ya vijijini ni...
11 years ago
Habarileo19 Jul
JK atangazia neema wakulima Ruvuma
RAIS Jakaya Kikwete amewaondoa hofu wakulima wa mahindi mkoani Ruvuma kwa kuwahakikishia kuwa serikali itanunua mahindi yote kutoka kwao kwa kilo moja ya mahindi kwa Sh 500 badala ya Sh 450 bei iliyotumika kununua mahindi katika msimu uliopita.
10 years ago
Habarileo02 Apr
Serikali yapunguza deni kwa wakulima
SERIKALI imeendelea na kasi ya kulipa deni ililokuwa inadaiwa na wakulima sehemu mbalimbali nchini ambapo jana Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga imewalipa wakulima wa mikoa ya Rukwa na Katavi zaidi ya Sh bilioni tisa kati ya Sh bilioni 22 walizokuwa wakiwadai baada ya kuwauzia mahindi msimu wa ununuzi uliopita.
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Keissy aitaka Serikali kulipa riba kwa wakulima
Na Debora Sanja, Dodoma
MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ali Keissy (CCM), ameitaka Serikali kuwalipa wakulima fedha zao pamoja na riba kutokana na kuwacheleweshea malipo yao kwa muda mrefu.
Akiuliza swali bungeni jana, Keissy alisema Serikali imekuwa ikilipa riba mbalimbali kutokana na kuchelewa kulipa madeni ya wazabuni na kutaka wakulima walioiuzia Serikali mahindi yao walipwe riba.
“Serikali inasema nini kuhusu kuwalipa wakulima hao fedha zao pamoja na riba kwa kuwa toka mwaka jana hadi sasa...
10 years ago
StarTV14 Jan
Serikali kutoa elimu kwa wakulima wadogo wa Pamba.
Na Gloria Matola,
Pwani Bagamoyo.
Serikali imejipanga kuendelea kuwaelimisha wakulima wadogo wadogo wa zao la pamba waliopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ili wafikie hatua ya kulifanya zao hilo kuwa la kibiashara zaidi ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na hali ya umasikini uliokithiri kwenye ukanda wa Mashariki.
Hayo yameelezwa kwenye ziara ya Bodi ya Pamba kwa kushirikiana na Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Pwani CORECU na TACOGA lengo likiwa ni kuwahamasisha wakulima wa zao hilo kurejea...