Serikali yapewa hekta 360 za ardhi
Mgogoro wa kugombea ardhi katika eneo la Mashewa Wilaya ya Korogwe umepatiwa ufumbuzi baada ya Kampuni ya Katani Limited kuipa Serikali hekta 360 ilizokuwa zikimiliki kupitia shamba lake la Magoma Kulasi Estate.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSerikali yatenga hekta 1,363 kwaaajili ya ujenzi wa viwanda Tanga
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maeneo ya EPZ pamoja na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) imeweka matayarisho na utaratibu wa kuvutia wawekezaji eneo la Tanga.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene alipokuwa akijibu swali la msingi la Mhe. Omari Nundu, Mbunge wa Tanga Mjini.
“tayari Mamlaka ya EPZ imetenga hekta 1,363 katika eneo la Neema mkoani Tanga kwaajili ya ujenzi wa viwanda na uthamini wa mali umekamilika” alisema Mhe....
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Serikali yatenga hekta 1,363 kwa aajili ya ujenzi wa viwanda Tanga
10 years ago
Habarileo22 Oct
Serikali yabanwa, yapewa siku 30
SIKU moja baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuibana Serikali, ilipe deni la muda mrefu la Sh trilioni 8.4 kwa mashirika ya hifadhi ya jamii. Pia kamati hiyo imetoa mwezi mmoja kwa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kuhakikisha imekabidhi ripoti yake ya ukaguzi wa msamaha wa kodi inayotolewa na Serikali.
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Serikali yapewa mabilioni kuboresha bandari
10 years ago
StarTV05 Dec
Kipato cha wakulima, Serikali yapewa changamoto.
Na Amina Saidi, Mbeya.
Serikali imeombwa kuangalia uwezekano wa kutopandisha kodi mwaka hadi mwaka kwa Kampuni zinazozalisha pombe ili kupunguza uagizaji wa malighafi za bidhaa hiyo kutoka nje ya Nchi na hivyo kuongeza kipato kwa wakulima wa ndani.
Kwa sasa wakulima wa ndani wa mazao yanayotumika kutengenezea bidhaa hiyo kama shayiri na mtama wameshindwa kunufaika na kampuni hizo kutokana na viwanda vya Bia nchini kununua mazao hayo kutoka nje ya nchi.
Licha ya Mtama na Ngano ama Shayiri...
10 years ago
Mtanzania13 May
Serikali yapewa mbinu kujikimu katika bajeti
Na Elias Msuya, Dar es Salaam
WAKATI Tanzania ikiwa imeshindwa kutekeleza Malengo ya Milenia wadau wa uchumi wametoa mbinu za kujikimu katika bajeti badala ya kutegemea nchi wahisani.
Malengo manane ya Milenia ni pamoja na suala la kuondoa umasikini na njaa, elimu ya msingi kwa wote, usawa wa jinsia, kuzuia vifo vya watoto, afya ya uzazi, kupambana na Ukimwi, malaria na magonjwa mengineyo.
Akizungumza katika mkutano kuhusu Malengo ya Milenia, Dar es Salaam jana, Mtafiti Mwandamizi wa Taasisi...
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Hekta 14 kujengwa hospitali Tabora
HALMASHAURI ya Manispaa Tabora inatarajia kutenga jumla ya hekta 14 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa hiyo, Alfred Luanda...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Serikali yashambuliwa kukithiri migogoro ya ardhi
MBUNGE wa Viti Maalumu, Moza Abeid (CUF), ameishambulia serikali na kueleza kuwa migogoro mingi ya ardhi ambayo inaonekana kupamba moto nchini inachangiwa kwa kiasi kikubwa na serikali. Moza alisema kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
‘Serikali isimamie sheria umiliki wa ardhi’
SERIKALI imetakiwa kusimamia sheria, taratibu na kanuni za umiliki wa ardhi ili kuondoa changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta hiyo ikiwemo uvunjifu wa amani na umwagikaji wa damu. Mkurungezi wa Taasisi ya...