Serikali yapewa mabilioni kuboresha bandari
Zaidi ya Sh 1.2 trilioni zimetolewa na wadau wa maendeleo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam inayofanywa chini ya Mpango wa Matokeo Mkubwa (BRN)sasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Nov
Sumatra yapania kuboresha bandari
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesema itahakikisha bandari zilizopo nchini, zinatoa huduma kwa kiwango cha kimataifa ili ziweze kushindana na bandari za nchi jirani ikiwa ni pamoja na kupewa leseni.
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Japan yajitolea kuboresha reli, bandari
SERIKALI ya Japan imeahidi kuboresha miundombinu nchini. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Noria Mitsuya, kwenye...
10 years ago
Habarileo22 Oct
Serikali yabanwa, yapewa siku 30
SIKU moja baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuibana Serikali, ilipe deni la muda mrefu la Sh trilioni 8.4 kwa mashirika ya hifadhi ya jamii. Pia kamati hiyo imetoa mwezi mmoja kwa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kuhakikisha imekabidhi ripoti yake ya ukaguzi wa msamaha wa kodi inayotolewa na Serikali.
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Serikali yapewa hekta 360 za ardhi
10 years ago
Mtanzania13 May
Serikali yapewa mbinu kujikimu katika bajeti
Na Elias Msuya, Dar es Salaam
WAKATI Tanzania ikiwa imeshindwa kutekeleza Malengo ya Milenia wadau wa uchumi wametoa mbinu za kujikimu katika bajeti badala ya kutegemea nchi wahisani.
Malengo manane ya Milenia ni pamoja na suala la kuondoa umasikini na njaa, elimu ya msingi kwa wote, usawa wa jinsia, kuzuia vifo vya watoto, afya ya uzazi, kupambana na Ukimwi, malaria na magonjwa mengineyo.
Akizungumza katika mkutano kuhusu Malengo ya Milenia, Dar es Salaam jana, Mtafiti Mwandamizi wa Taasisi...
10 years ago
StarTV05 Dec
Kipato cha wakulima, Serikali yapewa changamoto.
Na Amina Saidi, Mbeya.
Serikali imeombwa kuangalia uwezekano wa kutopandisha kodi mwaka hadi mwaka kwa Kampuni zinazozalisha pombe ili kupunguza uagizaji wa malighafi za bidhaa hiyo kutoka nje ya Nchi na hivyo kuongeza kipato kwa wakulima wa ndani.
Kwa sasa wakulima wa ndani wa mazao yanayotumika kutengenezea bidhaa hiyo kama shayiri na mtama wameshindwa kunufaika na kampuni hizo kutokana na viwanda vya Bia nchini kununua mazao hayo kutoka nje ya nchi.
Licha ya Mtama na Ngano ama Shayiri...
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Serikali yakiri kupoteza mabilioni
SERIKALI imekiri kupoteza mabilioni ya fedha kila mwaka ambazo zinapaswa kulipwa kwa mujibu wa sheria na makampuni ya migodi nchini kama ushuru wa huduma kwa halmashauri zinazozunguka migodi hiyo. Naibu...
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Mabilioni ya Uswisi yaitesa serikali
SERIKALI imezidi kuweweseka juu ya kuweka hadharani taarifa ya Watanzania walioficha fedha nchini Uswisi, baada ya kamati iliyoundwa na Bunge kushindwa kutoa taarifa yake na kuomba muda zaidi wa kujiandaa....
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Oct
MSD yaidai serikali mabilioni
NA EPSON LUHWAGO
UHABA mkubwa wa dawa na vifaa tiba umezikumba hospitali nyingi nchini, zikiwemo za Muhimbili na Ocean Road, kutokana na serikali kudaiwa zaidi ya sh. bilioni 90 na Bohari Kuu ya Dawa, (MSD).
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalofuatilia masuala ya afya nchini la SIKIKA, Irenei Kiria, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa hali hiyo inahatarisha maisha ya wananchi kutokana na kukosa matibabu.
Irene alisema kutokana na madeni hayo, MSD imesimamisha...