Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSD yaidai serikali mabilioni


NA EPSON LUHWAGO 
UHABA mkubwa wa dawa na vifaa tiba umezikumba hospitali nyingi nchini, zikiwemo za Muhimbili na Ocean Road, kutokana na serikali kudaiwa zaidi ya sh. bilioni 90 na Bohari Kuu ya Dawa, (MSD).
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalofuatilia masuala ya afya nchini la SIKIKA, Irenei  Kiria, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa hali hiyo inahatarisha maisha ya wananchi kutokana na kukosa matibabu.
Irene alisema kutokana na madeni hayo, MSD imesimamisha...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

MSD yaidai serikali bilioni 117/-

BOHARI Kuu ya Taifa ya Dawa (MSD) imesema kuwa deni ambalo wanaidai Serikali limezidi kuongezeka hadi kufikia Sh bilioni 117 Septemba 2015, hali ambayo imefanya kuzorotesha utendaji wa bohari hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Dawasco yaidai Serikali Sh15bilioni

Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amezishambulia mamlaka za maji, Dawasco na Dawasa kwamba zimekuwa vinara wa kupoteza maji kwa asilimia 56 kutokana na uchakavu wa miundombinu yao jambo ambalo linawaathiri wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Auswa yaidai Serikali, wananchi Sh1.2 bilioni

Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (Auswa), inaidai Serikali na taasisi zake kiasi cha Sh1.2 bilioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabilioni ya Uswisi yaitesa serikali

SERIKALI imezidi kuweweseka juu ya kuweka hadharani taarifa ya Watanzania walioficha fedha nchini Uswisi, baada ya kamati  iliyoundwa na Bunge kushindwa kutoa taarifa yake na kuomba muda zaidi wa kujiandaa....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yakiri kupoteza mabilioni

SERIKALI imekiri kupoteza mabilioni ya fedha kila mwaka ambazo zinapaswa kulipwa kwa mujibu  wa  sheria na makampuni ya migodi nchini kama ushuru wa huduma kwa halmashauri  zinazozunguka migodi hiyo. Naibu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mabilioni ya Serikali hatarini kupotea

 Jitihada za Serikali kuboresha huduma ya afya zimekwaa kisiki baada ya pikipiki za magurudumu matatu 372 zilizonunuliwa kwa ajili ya kubebea wajawazito, kutumika kwa matumizi tofauti katika baadhi ya wilaya hapa nchini. Kukwaa kisiki kwa mradi huo kunaweka rehani zaidi ya bilioni tatu za Serikali zilizotumika kununulia pikipiki hizo hivyo kulitia hasara taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapunguza deni MSD

Serikali imeendelea kulipa malimbikizo ya deni la Sh40 bilioni inalodaiwa na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kwa kutoa Sh10 bilioni hivi karibuni.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yailipa MSD bilioni 20/-

SERIKALI imetoa kiasi cha Sh bilioni 20 ili kulipa sehemu ya deni la Sh bilioni 81 inayodaiwa na Bohari Kuu ya Taifa ya Dawa (MSD).

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yabeba madeni ya TTCL ya mabilioni

 Profesa Makame MbarawaSERIKALI imebeba madeni ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ya mabilioni ya fedha na kuiruhusu kukopa hadi Sh bilioni 96.4 kutoka katika taasisi za fedha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani