Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dawasco yaidai Serikali Sh15bilioni

Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amezishambulia mamlaka za maji, Dawasco na Dawasa kwamba zimekuwa vinara wa kupoteza maji kwa asilimia 56 kutokana na uchakavu wa miundombinu yao jambo ambalo linawaathiri wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanesco yaikatia umeme Dawasco, yaidai Sh7 bilioni

Kibao cha operesheni kata maji kimeligeukia Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) baada ya kukatiwa umeme na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ikidaiwa Sh7 bilioni.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

MSD yaidai serikali mabilioni


NA EPSON LUHWAGO 
UHABA mkubwa wa dawa na vifaa tiba umezikumba hospitali nyingi nchini, zikiwemo za Muhimbili na Ocean Road, kutokana na serikali kudaiwa zaidi ya sh. bilioni 90 na Bohari Kuu ya Dawa, (MSD).
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalofuatilia masuala ya afya nchini la SIKIKA, Irenei  Kiria, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa hali hiyo inahatarisha maisha ya wananchi kutokana na kukosa matibabu.
Irene alisema kutokana na madeni hayo, MSD imesimamisha...

 

9 years ago

Habarileo

MSD yaidai serikali bilioni 117/-

BOHARI Kuu ya Taifa ya Dawa (MSD) imesema kuwa deni ambalo wanaidai Serikali limezidi kuongezeka hadi kufikia Sh bilioni 117 Septemba 2015, hali ambayo imefanya kuzorotesha utendaji wa bohari hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Auswa yaidai Serikali, wananchi Sh1.2 bilioni

Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (Auswa), inaidai Serikali na taasisi zake kiasi cha Sh1.2 bilioni.

 

10 years ago

Mwananchi

Dawasco: Tumeikabidhi Serikali wadaiwa Sugu

Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (Dawasco), imekabidhi kwa Wizara ya Maji wadaiwa sugu 12 wa huduma ya maji kwa ajili ya kuchukuliwa hatua.

 

10 years ago

KwanzaJamii

Dawasco yaitia serikali hasara ya Sh. bilioni 27

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amesema kampuni ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) imeisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 27 kutokana na kutokidhi vigezo katika kusimamia upotevu wa maji. Kutokana na hali hiyo, imeipa bodi mpya ya Dawasco muda wa mwezi mmoja ili kutatua tatizo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo, ambayo ni ya tatu kwa Dawasco, Profesa Maghembe alisema hasara hiyo imetokana na kampuni hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Tarime yaidai Barrick Sh1.2 bilioni

Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara imesema inaudai mgodi wa North Mara, unaomilikiwa na African Barrick Gold, dola 800,000 za Kimarekani (sawa na Sh1.28 bilioni za Kitanzania).

 

9 years ago

Habarileo

TPC yaidai Tanesco bilioni 2.9 za umeme

KIWANDA cha Uzalishaji Sukari (TPC) Ltd cha Moshi mkoani Kilimanjaro kinalidai Shirika la Umeme nchini (Tanesco) zaidi ya Sh bilioni 2.9 kama fedha za kuwauzia umeme unaozalishwa hapo na kuingizwa katika Gridi ya Taifa.

 

10 years ago

Habarileo

Halmashauri ya Kilwa yaidai TPDC bilioni 3/-

SHIRIKA la Maendeleo la Taifa la Petroli Tanzania (TPDC) limetakiwa kuilipa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Sh bilioni tatu kutokana na kutolipa ushuru na fidia mbalimbali kwenye kiwanja wanachokimiliki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani