Mabilioni ya Serikali hatarini kupotea
 Jitihada za Serikali kuboresha huduma ya afya zimekwaa kisiki baada ya pikipiki za magurudumu matatu 372 zilizonunuliwa kwa ajili ya kubebea wajawazito, kutumika kwa matumizi tofauti katika baadhi ya wilaya hapa nchini. Kukwaa kisiki kwa mradi huo kunaweka rehani zaidi ya bilioni tatu za Serikali zilizotumika kununulia pikipiki hizo hivyo kulitia hasara taifa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Serikali yakiri kupoteza mabilioni
SERIKALI imekiri kupoteza mabilioni ya fedha kila mwaka ambazo zinapaswa kulipwa kwa mujibu wa sheria na makampuni ya migodi nchini kama ushuru wa huduma kwa halmashauri zinazozunguka migodi hiyo. Naibu...
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Oct
MSD yaidai serikali mabilioni
NA EPSON LUHWAGO
UHABA mkubwa wa dawa na vifaa tiba umezikumba hospitali nyingi nchini, zikiwemo za Muhimbili na Ocean Road, kutokana na serikali kudaiwa zaidi ya sh. bilioni 90 na Bohari Kuu ya Dawa, (MSD).
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalofuatilia masuala ya afya nchini la SIKIKA, Irenei Kiria, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa hali hiyo inahatarisha maisha ya wananchi kutokana na kukosa matibabu.
Irene alisema kutokana na madeni hayo, MSD imesimamisha...
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Mabilioni ya Uswisi yaitesa serikali
SERIKALI imezidi kuweweseka juu ya kuweka hadharani taarifa ya Watanzania walioficha fedha nchini Uswisi, baada ya kamati iliyoundwa na Bunge kushindwa kutoa taarifa yake na kuomba muda zaidi wa kujiandaa....
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
‘Serikali kuokoa mabilioni sekta ya maji’
WAZIRI wa Maji Prof. Jumanne Maghembe, amesema serikali itaokoa mabilioni ya fedha iliyokuwa ikitumia kuagiza mabomba ya kuweka miundombinu ya maji kutoka nje, kwa vile hivi sasa yanapatikana hapa nchini....
10 years ago
Habarileo28 May
Serikali yabeba madeni ya TTCL ya mabilioni
SERIKALI imebeba madeni ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ya mabilioni ya fedha na kuiruhusu kukopa hadi Sh bilioni 96.4 kutoka katika taasisi za fedha.
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Mabilioni ya nyara za Serikali yaokolewa Kia
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Serikali yapewa mabilioni kuboresha bandari
11 years ago
Mwananchi31 Jul
Serikali ina njia tatu za kurejesha ‘mabilioni ya Uswisi’
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Serikali ipo hatarini kupoteza hisa NBC