‘Serikali kuokoa mabilioni sekta ya maji’
WAZIRI wa Maji Prof. Jumanne Maghembe, amesema serikali itaokoa mabilioni ya fedha iliyokuwa ikitumia kuagiza mabomba ya kuweka miundombinu ya maji kutoka nje, kwa vile hivi sasa yanapatikana hapa nchini....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSerikali yawahakikishia ajira wahitimu sekta ya maji
Serikali imesema kuwa ina taarifa ya wahitimu wa Taasisi ya Maendeleo ya Maji (WDMI),kukosa nafasi za ajira hivyo suala hilo limefanyiwakazi na serikali kwa kushirikiana na wadau wengine wa maji hivyo wawe na uhakika wa kuajiriwa na wasibweteke wakipata hizo fursa kwani hakutakuwa na nafasi kwa wazembe au wasiowajibika. Akizungumza wakati wa mahafali ya saba ya taasisi hiyo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mbogo Mfutakamba alisema ukosefu wa ajira kwa...
11 years ago
MichuziWAKALA WA UKAGUZI WA MADINI WAPONGEZWA KWA KUOKOA MABILIONI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-lWRdOVqvzwg/Vc0Ts_90YZI/AAAAAAAHweA/FW4QJYYULGE/s72-c/unnamed%2B%252829%2529.jpg)
Ujerumani yaipatia Serikali ya Tanzania Sh. Bilioni 39.1 kusaidia sekta ya afya, maji na maliasili.
Na Jenikisa Ndile-MAELEZO Serikali ya Tanzania na Ujerumani zimetiliana saini mikataba miwili ya misaada yenye thamani ya jumla ya Euro milioni 17 ambazo ni sawa na Tsh. Bilioni 39.1 kusaidia sekta ya afya, maji na maliasili. Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es salaam kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Egon Kochanke ili kuleta mafanikio na maendeleo katika. Aidha, Dkt. Likwelile...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-JLYvlMRM54o/UyF3f5VKEgI/AAAAAAAFTVw/PGu15STOuZY/s72-c/01.jpg)
Serikali ya Ubelgiji yaipa Tanzania msaada wa sh. bilioni 40 kusaidia sekta ya kilimo na maji
![](http://1.bp.blogspot.com/-JLYvlMRM54o/UyF3f5VKEgI/AAAAAAAFTVw/PGu15STOuZY/s1600/01.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-8bzaKxCSYFY/UyF3hT3JE7I/AAAAAAAFTV4/fqBiOTdSFOk/s1600/02+(1).jpg)
11 years ago
Mwananchi23 Jul
TAMBIKO: DC atoa kafara kuokoa miradi ya umeme, maji
>Mkuu wa Wilaya ya Chemba, mkoani Dodoma Francis Mtinga amelazimika kuwapa wazee wa kimila kondoo wawili kwa ajili ya tambiko la kuwaondoa nyoka wanaodaiwa kuzuia miradi ya maendeleo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7Nr85iToPjE/Xuyv5d67UeI/AAAAAAALuls/wCd5IV8DjSY6B1VFHKTGao_2YiwXs4GPACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-19%2Bat%2B1.39.54%2BPM.jpeg)
SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA
Na. WAMJW-DSM
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Wakimbizi wa Rohingya 'walazimika kunywa maji ya bahari kuokoa maisha' baada ya kufurushwa
Taifa la Malaysia lililifurusha boti lililokuwa limebeba mamia ya wakimbizi wa Rohingya , likihofia maambukizi ya virusi vya corona .
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gTluFN2a4mg/XlLcbpRwB2I/AAAAAAALe8Y/-raTNItJdVU6J1qBiEv-MndVydSZuSxhgCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_0667AA-1024x656.jpg)
MCHANGO WA SEKTA YA MADINI UMEZIDI KUIMARIKA NCHINI, SERIKALI TUNAFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA SEKTA HIYO- WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema mchango wa sekta ya madini umezidi kuimarika hapa nchini na kwamba Serikali kwa upande wake imeridhishwa na utendaji kazi wa sekta hiyo kupitia Wizara ya Madini.
Ameyasema hayo leo Februari 23,2020 wakati akizungumza na wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mwalimu Nyerere(JNICC), jinini Dar es Salaam leo.
Amefafanua kuwa sekta ya madini hapa nchini...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9nsL2uSKVQc/XrLOlxD4oZI/AAAAAAALpTU/J1B_Or4uIH0bBIdLWg-PelRq2yBQCijwgCLcBGAsYHQ/s72-c/Serengeti.jpg)
SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA
Na Woinde Shizza,ARUSHA
SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.
Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania